Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nokia lumia complete ipo na kila kitu brand new from dubai inauzwa kwa laki tatu na nusu (tsh3500000) CALL 0712556810
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini ninahitaji nyumaba ya kupanga vyumba viwili na sebule selfcontainer, maeneo ya magomeni bajet yangu Ni 170000 Kama unafahamu nijulishe now by pm Pia ilala
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa yeyote anayejua wapi hzi simu zinapatikana na bei yake aniambie.Au kama kuna mtu anauza hzo simu humu ndani anipm
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naishi Mabibo Dar es salaam mimi ni fundi umeme. ukinihitaji nitafute kupitia 0713 190 118
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Za saa hizi wana jf,Kwa jina naitwa Nicholas kama inavyoonekana kwenye profile name yangu,mimi ni mfanyabiashara na mwanafunzi wa ifm mwaka wa mwisho katika fani ya sayansi ya computer. Kibiashara...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
asante bandugu!
5 Reactions
37 Replies
4K Views
Wakuu naomba kujuzwa kwa wale wazoefu, hii gari RAUMU new model ikoje? Kwa maana ya ubora wake, ukilinganisha na RAUM old model na nyinginezo. Asanteni na karibuni kwa maoni na michango.
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Habari wana jamvi! Leo nawaletea HANDY digital video camera(model za vivitar) >Ina uwezo wakupiga picha(5mpixel quality) >Ina record HD video >2Gb memorycard >USB cable > INSTALLATION CD Contact...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
​Excellent coondition, Tyota OPA ya mwaka 2003, Engine 1ZZ-1800cc, Mileage 85,000km, 15inch sports rim. CGJ number plate Imetumika miezi 6 Dar Radio, Full power window color Pearl Bei...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Haya haya kwa wapenzi wa Music, pata mali kwa bei inayoendana na quality: mzigo wireless, bluetooth ndani ni kwa tsh 200,000 tu. Used headfones, nimezinunua in two weeks, ila ninabadilisha ndio...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
WAVUVI WA PESA Niko mbioni kutoa kitabu hicho. Kitafichua utapeli unaofanywa na baadhi ya watu wanaojiita watumishi wa Mungu! Stay tuned!
1 Reactions
111 Replies
10K Views
Nachora ramani za nyumba na majengo mbalimbali, napatikana akiba posta kwa mawasiliano 0714 155854
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu heshima zenu. Mimi nahitaji gari kwa haraka. Liwe na 4 wheel drive,preferably SUV body,liwe limetembea chini ya kilometa 100000 na ndani pawe na mvuto sana. Sipendelei rangi zifuatazo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau kenta inauzwa ipo daresalaam ni ya tani 2 na nusu. Engine yake ni 33 na inabinua vizuri. Bei yake ni shilingi milioni 18.(18,000,000/=) kwa maelezo zaidi wasiliana na namba hii 0754 834839
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nauza sumsung yangu anayehitaji ani pm ni original
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tupia picha na specifications zake tufanye biashara,tunamalzana hapa hapa jamvini,hakuna cha pm wala no ya simu kwa sasa.serious sellers karibuni.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
habari wakuu,, nauza vodacom modem ipo safi,hizi mpya na usb cable yake kwa 25.k tu,, 0712 507060..karibuni..napatikana nwenge
0 Reactions
2 Replies
849 Views
Looking for above mentioned phone in black/gold - 16GB. Call 0712868178
0 Reactions
1 Replies
833 Views
Kiwanja kinauzwa kipo BUYUNI eneo linaloitwa SHERATON barabara iendayo CHANIKA karibu kabisa na OIL COM pia na MONTESSORI. Kiwanja kina UREFU 32 na UPANA 17 miguu ya mtu mzima. Bei ni 4.5M...
0 Reactions
1 Replies
954 Views
wakuu nahitaji meza ya ofisi used ama mpya iwe na hali nzuri vizuri iwe zle za kichina nna laki moja
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom