yeah nauza HTC chacha imetumika mwezi mmoja tu(simu nzuri na adimu ni button na touch) kwa maelezo zaidi check gsmarena.com nauza kwa laki tatu(300,000) tu...pia nina techno Q1 kwa laki na...
kwa wale wote wenye shida na umeme......mimi ni fundi umeme wa majumbani na vifaa vyote vya umeme....naishi mabibo Dar es salaam.....nipigie kupitia 0713 190 118
Visit http://www.mnada.co.tz and bid or buy just about anything from Verified Sellers. GODFREYELECTRONICS and RICKAZ both Verified Sellers have listed a range of products as shown below for...
Nina habari njema kwa vyama vya siasa nina hazina kubwa. Ni mtu ambaye napenda sana kuimba lakini na kutunga na kwa sasa nimeamua kusoma music note niwe professional in Music. Nataka kuanzisha...
Wakubwa, Nategemea kulima acre 15 na zaidi za mahindi kwa kutumia mbegu mpya ya H600. Kwa matarajio yangu, nitavuna mnamo mwezi wa 6/7 mwakani (2014). Kwa mwenye mahitaji makubwa ya mahindi...
Habari wakuu na hasa wadada wanaojipenda
Nywele ni Indian remy toka India zinapatikana na ni real human hair kabisa yaani wanakata nywele zao na kuuza.
Nywele zinazopatikana ni
Weaving size zote...
sq.3500 zinapatikana katika beach ya mtwara shangani karibu na chuo cha veta.ni eneo linalotazama bahari kuu ya mtwara pia kuna mahotel makubwa kama NAF BEACH HOTEL 5star,SEACLIFF HOTEL MTWARA na...
Habari wadau.
Namshukuru Mungu kwa uzima.
Natafuta Tractor (gari la kulimia) ambalo ni la kukodisha kwa ajili ya kilimo.Na kulikodi ni kwa msimu tu. Tractor lenyewe liwe katika hali nzuri. Kama...
Kiwanja kinauzwa Kipo maeneo ya Mafinga mjini - Pipeline - Majengo mapya.
Kina ukubwa wa nusu hekari 62 x 31 = 1922 sqm
Kimepakana na barabara, huduma ya maji na umeme ipo.
Kina msingi wa...
Mashamba ya kupanda miti yanauzwa.
Yapo maeneo yenye mvua ya kutosha na ardhi yenye rutuba ya kutosha.
Yapo Igeleke wilayani Mufindi.
Zipo Hekari 200. Hekari Moja ni Tsh 110,000/=.
Kama...
Call me im in zanzibar 0785 996663
For more details see me. Petrol,auto sliding back door ,rotating back seats, full navigation system ,full AC,
nakukumbusha this is not NOAH .
And the price...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.