Jamani nimepitia humu JF watu wanalaumu yard za bongo. mara wanabadilisha engine, mara wanatoa dubai machakavu,mara wanabadisha vifaa.Hivi hakuna yard inayoagiza kutoka japani ambayo...
Habarini humu ndani.
Jamani nahitaji Nyumba ya kupanga
iwe chumba na sebule. Maeneo ya ilala, malapa. Pia Ubungo hasa riverside na Pia Ubungo Maziwa na mabibo mwisho.
Umeme na maji Pia muhimu...
nina simu yangu ya blackberry Z10 sasa hivi sipati application ya whatssApp, inaniambia ni update software yake kwa kutumia wi-fi nimejaribu kufanya hivyo imegoma, msaada kama yupo mwenye idea yeyote
Natafuta mteja wa kununua decorder ya zuku bila dishi lake inatoka na waya wake pamoja na remote, narudia no dish.bei 50000,npo arusha.mwenye hitaji anitafute direct 0756597108.
Model number GT 193000
Ina wiki mpya full navitu vyake kwenyebox
Ninyeusi haina sklachi yoyote
Internet speed yakutosha wi-fi 3G
16 gb
Kamela kama kawa mbele na nyuma
Ni ya nchi ya korea...
habari wakuu, kitu hii inaendelea na kazi vizuri sana, mmiliki wake anaama dar kikazi so usimamiz ataweza akiwambali, ipo sehem changamfu sana bei kwa jumla milion 2.5 plus kodi ya miezi 8 mbele...
lisiwe la uwizi
liwe na uwezo wa kuwasha tv mbili kubwa za nch 28 , projector mbili, ving'amuzi vinne.
pesa cash iliyopo mkononi ni sh laki moja tu, pesa inaweza kuwa adjusted.
tukitest wote...
Amani kwenu wadau...
Natumaini mu wazima wa afya na mnaendelea vyema na shughuli za kila siku. naomba msaada kwa yeyote anayefaham
sehemu ninayoweza kupata vifaa vya studio ya picha (kama photo...
Habarini
naitaji kiwanja au shamba lenye ekari 1 kwa tsh. 500,000/= maeneo ya ukuni bagamoyo au popote bagamoyo
pls kwa aliyenacho anijulishe kwani ni muhimu sana. aniPM Itakuwa vyema
pls
Nahitaji music system inayoeleweka, iwe used au mpya ilimradi iwe katika hali ya kueeleweka,.....
Yoyote alionayo please, naomba ani habarishe specs zake pamoja na dau lake.
asante
Tuna design ramani za nyumba za aina mbalimbali,tunapatikana survey karibu na mlimani city Dar-es-salaam,hapo chini ni sample ya kazi ambazo tumefanya.
kwa mawasiliano
0713450840...
wadau kwa yoyote mwenye kuza pkpk ndogo sanlg (yani marufu kama kibao chambuzi) namba iwe c bei elekezi laki 7 naitaji nitashukuru hikiwa imetumika miezi 5,6 au 7 natanguliza shuklani wadau 0712690760
Kwa wale wenye campuni au wanabiashara na wanahitaji kutengenezewa website zao, tupo kwa ajili yako,,, tunatengeneza website kwa bei nafuuu,, na wale wanahitaji kujifuza lugha mbalimbali Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.