Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Iko Poa sana rangi Nzuri na Ingine haijaguswa! Ina killometre 77345
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Lets make life easier guys, najua wengi wetu tumewahi kukutana na changamoto katika utafutaji wa nyumba za kuishi, kununua, ofisi za kupanga, hostel, nyumba za kufikia ugenini, na hata kutafuta...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waheshimiwa habari zenu, Kuna samsung netbook original hapa inauzwa bei poa MODEL ni NP-N102S, ina processor ya 1.64GHZ, RAM 1GB, WIFI, WEBCAM, CARD READER, BLUETOOTH, WINDOW 7 PROFESSIONAL...kuna...
0 Reactions
1 Replies
901 Views
Nauza samsung galaxy note 10.1 Imetumika miezi 5 Angalizo:kwa anaependa.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Natafuta suzuki pickup carry .iliyo kwenye hali nzuri .na inayopendeza.naitaji haraka mwenye nayo anayeuza tuwasiliane 0713959290
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nataka kujua bei ya Rav 4 ya mwaka 1998 au 1999 na labda tofauti yake nini naomba wazoefu wa magari wanielezee please I'm interested to buy that particular type of a car...!!! Regards, Jonathan.
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Naombeni mawazo na ushauri wenu Wana JF:- Natarajia kuwa na harusi mapema wiki ya kwanza ya Desemba 2013. Plan yangu ni kuwa na shughuli ya watu kati ya 100 na 120 na nina bajeti ya 5M. Nimejaribu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamii.nafuta sim iwe smart phone mfano Samsung galaxy series au iphone 1 to 4 nokia au htc
0 Reactions
11 Replies
1K Views
wakuu pole na majukumu, nipo katika mchakato wa kuanzisha photo studio Dar es salaam (itakuwa ni medium). Studio hii itajishughulisha na upigaji picha portraits kusafisha na kuuza photographic...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana Bodi baada ya kuzunguka zunguka nimepata wazo la kufyatua tofari na kuunza,baada ya kuona Tasnia ya ujenzi inakua kwa Kasi,nilikua naomba kujua je ni wapi nitapata Mashine za kufyatua...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Nauza HTC Chacha used lakini ipo kwenye condition nzuri.. Tsh. 160,000 tu... Contact: 0716880022
0 Reactions
2 Replies
818 Views
Aina ya Simu: Nokia Lumia 620, Hali yake: Mpya na vifaa vyote, Uwezo: 8GB internal memory, Camera:5 MP, autofocus, dual-LED flash & camera ya mbele, OS: Microsoft Windows...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Anaye uza ipod touch 4g.
0 Reactions
0 Replies
771 Views
Sasa HUHITAJI KUSOMEA WEB DESIGNING ili uweze kutengeneza website yako mwenyewe.....Pata software itakayokusaidia kutengeneza WEBSITE yako kwa kutumia samples na template mbalimbali.NO HTML CODING...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Naomba ushauri wenu ni kampuni gani ya friji ambazo ziko imara zaidi na size ndogo yenye thamani ya sh.200,000 ili nikainunue ...kwa hapa dar tafadhari, natanguliza shukrani zangu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi wana JF. Naitaji laptop ila ikiwa mini laptop itakua vizuri ila pia kama unayo aina nyingine pia waweza nicheki ila isiwe dell. 0716369299 asanteni Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
0 Reactions
1 Replies
640 Views
Nina simu 3 naziuza...moja ni HTC Chacha(touch na button) 320,000 tu..bado mpya kabisaaa...pia nina tecno Q1 180,000 tu(touch+button)...na samsung galaxy pocket 140,000(full touch)..wahi kabla...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninauza harrier nyeusi ni mpya sana .bei maelewano 0713959290
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kIWANJA KIPO KONGOWE - DAR ES SALAAM, MAENEO YA KILUNGULE. BEI NI 2.2M. MAWASILIANO 0713135070 AU 0753820584. KARIBUNI.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau respect mbele....! Naomba kwa alie na taarifa za upatikanaji wa kiwanja cha kujenga morogoro hasa maeneo ya kihonda, nane nane, mikese, na bigwa....najua nikianza kuzunguka mwenyewe nitapata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom