Habari wakuu.
Nilikuwa nahitaji CDMA Modem ambazo mwanzo zilitolewa na Zantel ila hazipo tena in stock.
Number zake huanzia +255 24 55.....
Tuwasiliane kwa mwenye nayo.
Kama hizi hapa chini
Naulizia kwa mtu ambaye anauza kiwanja maeneo ya kitunda au sehemu jirani kama kivule,nyantira nk aniambie tufanye biashara.
Kiwanja kiwe karibu na barabara na huduma zote za kijamii kama vile...
Nyumba inauzwa ipo tegeta madale-mivumoni,imepauliwa na madirisha pamoja na mageti kwenye milangon,ni selfcontena ila haina masterbedroom mwenyewe anuza anataka akatibiwe india, bei mil...
Wakuu
Nimeamua kuuza ZUKU Satelite TV Complete kit yangu niliyoitumia kwa miezi sita tu
Sababu: Nimepata uhamisho kikazi na sitokuwepo tena nchini,kwa hiyo nimeamua kuipiga mnada!
ZUKU Satelite...
Za saa hizi wana jf,Kwa jina naitwa Nicholas kama inavyoonekana kwenye profile name yangu,mimi ni mfanyabiashara na mwanafunzi wa ifm mwaka wa mwisho katika fani ya sayansi ya computer. Kibiashara...
Kiwanja kinauzwa kipo barabara ya kutoka Visiga kwenda Bagamoyo!na pia ni kilometa 3 toka morogoro road!kipo visiga madafu kina ukubwa wa ekari 1!!bei sawa na bure!!!serious buyer only!!!ni pm...
Habari ndugu zangu,
mimi ni mfanyakazi wa taasisi, nimepangwa kuenda kufanya kazi mtwara. nimepata kapesa kidogo nataka nikifika nikae miezi 6 nitafute eneo zuri nijenge na ntajishughulisha na...
I have a client who is looking to purchase a plot in Upanga sector of minimum 2500SQM, his main requirement is that the land should be a square type and not rectangle, He may consider rectangular...
Kwema wakuu, kwa mara nyingine tena naleta kwenu PS2, bei ni 170,000, ina pad 1, ni dvd rome, dvd, cd na inatumia kadi pia, kwa wanaohitaji piga 0655361266, nipo Mwenge DSM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.