Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
natafuta flat monitors used tatu bei isizidi laki moja per each. mwenye nazo anicheki pm au anitafute via 0717354243, unaweza piga, text au send whatsapp messeges.
0 Reactions
4 Replies
970 Views
Jipangie bei unayoweza kununua wewe mwenyewe alafu uni-pm au 0758009876 Ni Nokia x2-01 Pana imetumika tayari
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa bei naafuu kabisa. Kipo Mafinga mjini -Pipeline -Majengo mapya. Kina ukubwa wa nusu hekari 31 * 62 meters = 1922 sq meters. Kimepimwa na kina hati miliki. Pia kina...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naleta kwenu line mbili moja ya M-Pesa na nyingine ya Airtel Money! Naomba bei kwa wale wanaohitaji.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
iwe na uwezo wa kusoma dvd na kutunza chaji...kama unayo ni pm
0 Reactions
7 Replies
976 Views
Naomba kujuzwa bei ya hiyo simu dukani.. Asanteni.
0 Reactions
1 Replies
959 Views
Pikipiki tajwa hapo juu ambayo imetumika miezi 3 tu tokea inunuliwe dukani na hajawai kupata ajali inauzwa. Bei ni. 1,750,000 Ipo Dar es salaam. Mawasiliano kwa atakayehitaji: 0717577755 /...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
habari ! ni wapi ninaweza kupata Darts board na accessory zake kwa matumizi ya Pub? natanguliza shukrani.
0 Reactions
2 Replies
703 Views
On sale serious buyer only. Toyota corolla. Cc 1.5 petroleum call 0713-425028
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Graphs kama Histogram, Pie Chart n.k michoro iko kumi na mbili na unaruhusiwa kutumia program yeyote ambayo utakuwa unataka kuitumia kama zile za kwe ye B plans Bofya hapa uone aina hizo za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nyumba poa yenye vyumba vitatu parking ya kutosha na umeme na maji vya uhakika...bei poa tunaongea..maelezo zaidi nipigie 0713339910
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauza laptop dell D620 bei 250.ram 1gb,Hdd80gb,processor 2.8ghz.kama unahitaji ni pm
0 Reactions
5 Replies
1K Views
samahani wadau,naomba nijuzwe bei ya sim tajwa hapo juu kwa mlio dar,nahitaki kunua ila huku mikoan ni kama wanatuuzia bei juu sana! natnguliza shukran
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta hostel maeneo ya ilala, chang'ombe, kariakoo, au sehemu nyingine ambayo naweza pata usafiri wa kufika posta moja kwa moja. Masharti:::: kuwe na maji, ulinzi. Nitajieni ofa
0 Reactions
2 Replies
997 Views
Habari wanajamii, Natafuta kiwanja kwa ajili ya Makazi eneo la Morogoro chenye thamani ya Millioni 2 mana ndo uwezo wangu Mungu alionijalia. Wenu Mtiifu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habar zenu wana jf.... Me natafuta chumba cha kuish (kupanga) single room.Me nipo Misungw kwa sasa kama upo misungw una info zozote plz tuambiane coz misungw madalali hakuna
0 Reactions
1 Replies
866 Views
Bei maelewano 0685 925153
0 Reactions
1 Replies
730 Views
Habarini marafiki Ni fursa pekee na wakati muafaka wa wewe kutaka kitu bora zaidi hivyo usiisite na kutangatanga ama kuhangaika huko na kule kutafuta ni wapi shughuli yangu naweza kuifanya, na ni...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nauza kiwanja mivumoni 20*20 mitasqr tshs. Mil6 Barabara ipo ila umeme upo kama km1, maongezi yapo ni PM or txt; 0656063933.utajibiwa
0 Reactions
9 Replies
2K Views
natafuta batter au mtu wa kubadilishana nae au hata wa kununua just PM
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Back
Top Bottom