Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
mashine ya ,max malipo ya mwezi wa sita inauzwa Tsh 400000 call 0716 567 467 ina hali nzuri.....
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida jana nilipoteza simu yangu aina ya Sony Xperia L maeneo ya Ubungo hivyo basi naamini kuwa mtu yule ambaye atakuwa kaichukua , au kuiokota sasa hivi atakuwa aidha...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa wale mnaohitaji external hard disc za trancend ninazo bei ni poa 145
1 Reactions
16 Replies
2K Views
JE UNATAFUTA NYUMBA/VYUMBA VYA KUPANGA SOWETO-MOSHI??? KARIBU KUNA VYUMBA YA KUPANGA NZURI IPO SOWETO, MTAA WA HURUMA KARIBU KABISA NA ST JOSEPH HOSPITAL. NYUMBA INA KILA KITU MAJI, GETI, NA...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Natafuta lock ya staring au ya gear level ya automatic car.
0 Reactions
1 Replies
815 Views
Waungwana kwa anaeiitaji hii simu tuwasiliane,bado iko poa ila sema hai-support code USSD yaan mpesa,tigopesa, na vifurushi na hii ndivyo ilivyoundwa so kwa mwenye utayari no. yangu ni 0767954466...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu ninashida ya kuku wa kienyeji pure ambao wamebakiza kama mwezi au wiki tatu waanze kutaga...nahitaji mitetea kama 100.....natanguliza shukrani,,,,,
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wadau JF, Nina ndugu zangu wawili. wa kwanza ni mwanaume ana miaka thelathini,elimu kidato cha nne na amesomea mambo ya Hoteli na Utalii, specialize kwenye Barman and Waiter,ana uzoefu wa zaidi ya...
0 Reactions
0 Replies
858 Views
Jamani mimi ni kijana wa miaka 19 na ni mtunzi mzuri wa hadithi na najiiaminini kuwa nna kipaji hiko. nlianza kuandika hadithi tangu nikiwa mdogo na sasa nimeanza kuandika hadithi zangu serious...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa wakazi wa dar iphone 4 inauzwa bei 300000 inaufa kwenye kioo ila inafanya kazi bila tatzo nchek 0719004668
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Karibuni wadau wa utalii wa ndani katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka.Mwezi desemba tumendaa trip nyingine ya kupanda mlima Kilimanjaro kwa njia ya MARANGU kwa muda wa siku 6 kupanda na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nauza nyumba mjengo wa kupangisha ya zamani ya chini iko mjini kabisa pembeni ya hospitali kuu alrahma mjini zanzibar ina vyumba saba including na store nane pia ina vyumba viwili vya uwani ina...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Imetumika miezi mitano Make:bajaj Model:boxer bm150 Registration:T...CKM Price:1.7mil(negotiable) Mawasiliano:Raymond Bakari 0712228690 Mwenye namba ya simu ndiye mmiliki.hakuna dalali
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za Leo wakuu? Napenda nichukue fursa hii kuinadi bidhaa tajwa hapo juu. Ni pikipiki aina ya Boxer Bm 150. Inauzwa Tsh 1,400,000/=, Sababu za Kuuzwa ni Longo Longo zimezidi kutoka kwa Dereva...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Habarini ndugu Jipatie kuku wa kisasa (Broille) wazuri ambao ni wa nyama, ninauza kuanzia kuku 100 na kuendelea. kwa bei ya jumla ni Tsh. 5500/= kwa kuku mmoja na kwa bei ya rejareja ni Tsh...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Property Details 1 self contained. 1 bedroom. Dinning room Living room Ample Parking Space Rent: Tshs 16mil/Month...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Statistician needed to play a key role in secondary analysis of data and Prepare statistical tables and analysis for all secondary analysis performed by The team!! Call or Sms +255 763 790 448!
0 Reactions
2 Replies
842 Views
Habari gani wanajamii....mimi natafuta mtaalam wa kutengeneza artwork kwa ajili ya kudisign cover ya audio cd....yeyote mwenye utaaalam naomba anipe bei pamoja na mawasiliano yake.....
0 Reactions
6 Replies
1K Views
product: Huawei Ascend Y200 price: TSH 130,000/= contact: +255716133432 address: ----- Survey, Dar
0 Reactions
7 Replies
1K Views
LOCATION: Kinyerezi Mjeshi ( 2km from JNI Airport, off Kinyerezi – Mbezi Highway) SIZE: 225sqm each PRICE...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom