Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Ahlan Wasahlan wakuu.. Kuna viwanja vinauzwa bagamoyo mt40 kwa 40.. Vipo eneo flan linaitwa Kiromo km chache kabla ya kufika mjini... Viwanja hivi vipo umbali wa mita 120 hivi kutoka ktk barabara...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwa wakazi wa Dar es Salaam, kuna viwanja 4 vyenye ukubwa wa hatua 20x20, bei ni milion 4, viwanja vipo Pugu Kinyamwezi mbele ya Kigogofresh njia ya kwenda chanika. Gari inafika! Anae nataka aniPM.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wadau Nahitaji OVEN Machine Kubwa ya Deck 1 hadi 3 (Gas or umeme) ya kukodisha au used inayouzwa, Mwenye nayo au info kuhusiana na hili tufahamishane wadau.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ninauza gari aina ya cardina yenye namba T 700 ATG inauzwa 7000000 Asanteni
0 Reactions
4 Replies
1K Views
OS :ANDROID 2.2 HARDWARE:SINGLE CORE,1000 MHZ,ARM CORTEX A8 BLUETOOTH WI FI 802.11 HDMI MINI TYPE C USB 2.0 BUILT STORAGE 8GB STORAGE EXPANSION MICROSD,MICROSDHC UP TO 32 GB nipo dar,my...
0 Reactions
2 Replies
626 Views
wana jamiiforums ni story ndefu kidogo ila kwa ufupi ni wizi umetokea maeneo ya Stanley secondary iliyoko Toangoma,Temeke Dar es salaam siku ya alhamisi(jana tarehe 17/10/2013)mida y saa kumi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Benjamin Smith akiwa na mama yake wa kambo ambaye alimnyang'anya baba yake Tuesday, October 20, 2009 3:46 AM Kijana...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
External DVD Drive inauzwa kwa bei ya tsh.90000/= tu kwa anayeihitaji wasiliana nami at 0718164448
0 Reactions
1 Replies
841 Views
Hahari wana JF. Natafuta kazi tajwa hapo juu. Nina uzoefu WA miaka2 na ni graduate WA Business Administration. Kwa yeyote awasiliane nami kwa kuni Pm. Asante.
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Toyota vitz inauzwa tsh 6m Toyota harrier inauzwa tsh 14m toyota i.s.t inauzwa tsh 12m Kwa maelekezo zaidi piga 0719918788, au 0687242621. Maelewano yapo
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Natafuta mtaalamu wa kutafsiri agriculture materials to Swahili. Nitumie charges zako kwa email: richie_massive@yahoo.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Music system inauzwa, bei poa tu sh.420,000, maelewano yapo. Inafaa kwa matumizi ya ndani, bar, grocery etc. Wasiliana nami kwa namba hii: 0756572287.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza miti aina ya mikaratusi yenye umri wa miaka mitano na nusu ipo mkoa wa Njombe na idadi yake ni miti 1000 bado sijaiangusha kutoka shambani.Miti hii siku za hivi karibuni hutumiwa sana kwenye...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
IPO NYUMA YA KILIMANJARO HOTEL. INA UKUBWA WA SIZE YA CARGO CONTAINER LA 20ft. KODI KWA MWEZI SHS 500,000/=. KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU HII 0755312233
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Used photocopy machine kwa milioni moja,inafanya kazi vizuri na bado inatumika ipo dar mawasiliano 0759149202
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nishapata wakuu thanks kwa mlionesha nia
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari, kuna jamaa yangu anahitaji tairi za 750 kwa 16, eneo la jirani kupata huduma hiyo ni Iringa mjini. Kwa anaemjua wakala alieyeko Iringa tafadhari naomba contacts zake.
0 Reactions
2 Replies
891 Views
natoa huduma za wafanyakazi wa nyumbani na baa kwa mkataba maarum, unaoweza kulinda hata mali zako, kwa mfanyakazi wa baa ninatoa mfanyakazi, uniform, na kulinda mali ikiwa uharibifu atakao...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
KIWANJA KINAHITAJIKA; TEGETA/BOKO/BUNJU/GOBA/MBEZI JUU/MAKONGO/SALASALA. KIPAUMBELE KWA VILIVYOPIMWA HASA VYA WIZARA/MANISPAA BUDGET 20 MIL (INAWEZA KU-ADJASTIWA KULINGANA NA SATISFACTION) Karibuni.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiwanja kipo Mpigi majoe , hakijapimwa ukubwa ni miguu 20 x 20 , kipo mpigi majoe kabla ya kuvuka mto . bei ni 7m zaidi unaweza ni pm au nipigia kwenye 0685 31 23 26.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom