Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nauza blackberry torch 9800 kwa 260000 nyeusi na Iko katika hali nzuri pungufu ipo,ntafute kwa 0688939839
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu natafuta hiyo kitu apo juu, kama unayo na unauza nichek(,PM) gb iwe ni yoyote( 16,32 or 64)
0 Reactions
3 Replies
888 Views
Habari wakuu naomba wanaojua bei ya nokia c5 5mp,na pia namna ya kujua original. Lakini mahali gani pa kuaminika kwenda kununua. Nashukuru sana
0 Reactions
2 Replies
2K Views
A very well positioned plot suitable for building your dream home on a hillside above Mbezi Salasala in a peaceful position with fresh breeze. This fenced land is being offered at a very good...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
anaeitaji mashine ya kukodi, kusaga na kukoboa....mahnd,mpunga, dengu na lishe...bei nafuu..anaetaji ani pm kama kawa.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba msaada. Nitakaa korogwe kikazi kwa muda wa mwezi 1 hivi. Budget yangu ya guest house ni sh 15000-20000. Kwa mnaoifahamu Korogwe niwaombe msaada wenu. Ipi ni lodge nzuri kwa budget hii...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
phantom f7 full box used 2month laki 370 call Tecno Phantom A (F7) Specifications » Naijatech
0 Reactions
2 Replies
822 Views
Wakuu nahitaji kununua simu samsung galaxy s2 mwenye nayo achangamkie bac
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Inauzwa gari aina ya cardina aina ya T 700 ATG gari ipo safi injini full A/C wasiliana nasi kwa namba 0719891518 au 0785594235 bei maelewano tunapatikana mikocheni A karibuni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwanza nawasalamui wakuu, kuna mtu ambae anafahamu wapi zinapatikana pamoja na bei yake ,Ahasanteni.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana JF! Mim naishi mkoani ila nina mpango wa kununua bajaj hivyo nataka japo nijue bei ya huko DSM ni kias gan. Nitashukuru sana.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Simu zote zimetumika kidogo tu, kwa matunzo ya hali ya juu sana. Hazina michubuko kabisa. Bei ya iphone 4s(black colour) ni tsh 520000, galaxy s3 (blue colour) ni tsh 550000, na galaxy note...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
shamba lipo mvuti karibu na gereza la dondwe wilaya ya temeke mkoa wa dar es salaam heka 5 bei mill 10 maelewano yapo lina faha kwakilimo wekeza kwa sasa na badae hii ndio fulsa sasa simu 0712690760
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hello Wana J F . Nauza IPad 4 3G + WIFI 16GB Black Tsh 950, 000/ = a little negotiable. Serious buyers please PM .
0 Reactions
0 Replies
614 Views
Iveco Stralis 2003, imported from UK last year (T... CBM plate number) with complete Trailer is ON SALE . Working perfect, Currently on the way from Mbeya to Dar. Asking price TZS 55million...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Xtreme Fuel treatment... is a product patented an time tested for nearly two decades in industrial markets around the world. Extensive testing and perfomance measurement data PROVE THAT IT REALLY...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau ! kwa wale wanaohitaji ramani za nyumba (architectural works) , interior design works na ushauri wa ujenzi. ASANTENI Mobile- 0717-442537 & 0767-442537.
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Gari aina ya toyota cardina inauzwa maeneo ya mikocheni.. IPO katika hali nzuri na haina tatizo lolote la kiufundi.. kwa mawasiliano zaidi NIPM au piga 0719891518 kwa maelezo zaidi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Viwanja Vilivyopo Kigamboni Mwasonga (Karibia na Dar Es Salaam Zoo) Vinauzwa kwa Bei Utakayomudu KILA SQ METER MOJA NI SH ELFU SABA. Ni viwanja vyenye hati na Vilivyokwisha pimwa Tayari Tazama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom