Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Natafuta nyumba hususani room moja ya kuishi hapa mbeya,bajeti yangu ni 30000 mpaka 50,000 kulipa ni miezi mitatu au sita ila room self itapewa kipaumbele maeneo,soweto au kabwe block T.ni PM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ta software mahiri itakayokusaidia katika kutengeneza BUSINESS PLAN nzuri inayoeleweka na inayopendeza na yakuvutia software hii ina feature mbalimbali nzuri pia ina financial tools zote...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wanajf wote mliookoka(naamini wahusika mnanielewa kwa lugha hii) Kitabu "Mafanikio yako yanategemea jinsi unavyofanya maombi" kinapatikana kwa bei nafuu kabisa.Kimefafanua mambo mbalimbali...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Ninauza RICE COOKER ni mpya kabisa na unaweza kupikia wali kuanzia robo kilo hadi kilo 6 inapika yenyewe huku ukiwa unaendelea na kazi nyingine ikiivisha inajizima na wali unakua mtamu zaidi ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Imetumika kidogo kama unavyoona kwa picha,bei sh laki 2,mawasiliano 0768808819 ama ni pm
0 Reactions
2 Replies
742 Views
Wakuu naomba msada wenu eti kuna simu aina ya tecno ambayo inaweza kufungua pdf file? na kama ipo bac n tecno ngap?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
wadau wana jf, natafuta simu ya kununua aina ya ideos(mpya) kwa yeyote anaeuza ani pm.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kama unataka ni pm wako poa wana afya ya kutosha na wanene wenye uwezo wa kuwa walinzi wazul au cal 0763342623
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nauza decoder hiyo hapo juu kwa sh 300,000 tu zimebaki chache if ur interest just pm me, kazi yake nadhani wengi mnaifahamu.
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Nauza HTC trophy kwa Tsh. 200,000 Tuu. INa 8 GB na Window 7.5, haina mikwaruzo ...
0 Reactions
2 Replies
913 Views
Kiwanja kipo eneo la bugogwa,jirani na barabara ya wilaya ya ilemela inayowekwa lami kutoka makao makuu ya wilaya kuelekea igombe inayotengenezwa. Hakijapimwa bado, Lina ukubwa wa 70 kwa 50 bei...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
motorola DROID, RAZR, nokia lumia 820, 720, 625.ziwe USED au mpya na in a good condition. PM me your price if u got any.
0 Reactions
1 Replies
743 Views
USED NOKIA E7 FOR SALE AS IT IS ON THE PIC.contacts 0768808819 or u can pm
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau kama heading inavyojieleza nahitaji kukodi Camera mojawapo ya hizo kwa siku 4 au 5, najua security ya Camera ni muhimu hivyo niko tayari kumtumia Cameraman wako cha msingi awe na uzoefu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
lumia 820 ina 1 week,nicheki 0716199297
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huawei y300 ndani ya box nipeni bei ya kuuza.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
nauza samsung S3 mpya kama inavyoonekana kwa sh laki 6 na nusu mawasilano 0768808819 ama ni pm
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Ni Solar system nyepesi na yenye ubora tofauti na unazo zifahamu, ina kaa na chaji kwa masaa 8 baada ya kujaa na unao uwezo wakuichaji na umeme wa kawaida kama ukipenda. Tunakupa warantii ya mwaka...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
habari! Ninauza Mtungi wa gesi kg 30.5 no#9 nipo Magomeni na ninaweweza kukuletea ulipo bei maelewano unafaa kwa matumizi ya nyumbani, Gheto na hotelini mawasiliano 0658825141 0767279713 badilika...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
wadau kichwa cha habari chajieleza, bei yangu haizidi elfu 30. nipo dar es salaam,
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom