Wakuu habari zenu!!
Nauza simu aina ya samsung galaxy s3 original nyeusi, nimeitumia miezi 7, haina mchubuko kokote mwenye kuitaji tuwasiliane inbox.
Sababu ya kuiuza; nimenunua s4 jana.
solar power ndogo zenye nyaya ndefu na bulb zake mbili zina uwezo wa kukaa na chaji kwa muda wa masaa kumi na mbili kwa mawasiliano 0654 996561 ,ramsef550@gmail.com
nyumba inapangishwa maeneo ya tabata posta kwa bei poa ni self dining,vyumba full tiles ni mpyaa na master full parking ipo ndan ya geti call me 0652740304.nyumba ipo near barabara
Habari, kama unahitaji music system kwa ajili ya shughuli (faction) yoyote unapatikana kwa gharama nafuu saana!! ni mziki unaotosha kupiga sehemu yoyote na katika tukio lolote!! karibuni...
nauza simu aina ya htc sencer good condition kwa bei poaa tuu laki 3 tu,simu iko poa pia kuna digital camera from uk casio yenye 16gb lens 12.1 ,16.2mplx na full package ni yakucharge ipo ktk box...
Kuna shughuli nataka kuifanya, yanipasa niwe na kampuni, kwa hivyo kama una documents za kampuni yeyote ambayo uliregister brela na kwa bahati mbaya haikufanya kazi yeyote mpaka sasa tafadhali...
kiwanja kizuri sana KINAUZWA maeneo ya mbezi beach tangibov karibu NA kanisa la Lutheran neo ni jk nyerere. kimepimwa kabisa NA hatimiliki za kiwanja zipo. NA unaweza kwenda wizara ya ardhi...
Heshima zenu wakuu,nahitaji fuel/petrol station ya mtu binafsi kwa ajili ya kukodisha! Maeneo ni dar es salaam,isiwe ya kampuni kubwa kama oilcom gapco puma etc! Mengine waweza ni pm. Asanteni
kwa anaehitaji gari toyota i.s.t nyeupe,milleage 88,000km,cc 1490,automatic, engine VVT..i,nauza 11mil bei inapungua ni nzuri katika utumiaji wa mafuta 15km/litre.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.