mpya orignal kwenye box lake na kila kitu chake haijawahi kutumika,anayehitaji anicheki kwa 0714061310; bei ni tsh 650,000,hii ni special offer.. Usichelewe... Piga simu sasa.
kwa anayehitaji anaweza kuwasiliana na mimi kwa pm. ni simu mpya original. utacheki mwenyewe kabla ya kuto pesa.
Kuna pcs 9 tu.
ni mpya kabisa ndani ya box.
first come first served...
Habari wakuu!
Gari mbili za biashara FUSO na COASTER yanauzwa jijini Mbeya. Gari zote ziko katika hali nzuri, bei ni maelewano tu. Kwa maelezo zaidi nitumie PM au nicheck kwa hii email...
Wanajamii nahitaji laptop mpya au used ambayo bado ina muonekano mzuri bajeti yangu ni 500,000. kama unayo weka sifa zake hapo chini nikivutiwa nayo tufanye biashara.Ahsanteni
Ninazo vocha mbili moja 1400sqm na ingine 2100sqm. Viwanja vya mradi Geza block 24. Unanilipa commission yangu wewe unaenda kulipia manispaa.
Maelezo na maswali zaidi yatapatikana pm ambako...
Wadau nauza samsung galaxy s3 (nyeupe) kwa 450, s4 mini (550) na 4s kwa 500 kwa yeyote ambaye yuko interested tuwasiliane 0753373354 simu zote ni genuine.....
LIMITED QUANTITY WITH ONLY 1 USB huhitaji power adopter ama chengine ni PLUG & PLAY
INAUZWA TSH 85,000 na unaweza kutumiwa ulipo baada ya malipo kukamilika CONTACT 0773 044 899
New black...
BAHEDELE DRILLING CO.
dealers in drilling borehole, submersible electric
pump and service
Buguruni sokoni
Dar es salaam Tanzania
Kawamaitaji yakuchimba kisima
utaratibu nkama ufuatavyo...
Wana JF Habari
Nimepata safari ya kwenda nje ya nchi kikazi na nitakuwa huko kwa muda wa miaka 5. Nina kiwanja nilichokinunua mwezi April mwaka huu na kuanza kujenga mwezi May. Kiwanja kimepimwa...
Salasala kuanzia sqm 1645 (60milioni) na 1600 (45milioni).Wazo sqm 1300 (20 milioni).Vyote maji na umeme vipo na gari inafika mpaka nyumbani.Maongezi katika bei yapo,karibuni.
0714 381704
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.