Watu binafsi na maofisi hasa kwenye mikoa ya jua kali kama Dar,Morogoro na Dodoma tunzeni magari yenu mnayoyapenda kwa bei nafuu kabisa.Unaweza ni PM,email at j.masalu@255system.com au simu...
Wadau kama heading inavyojieleza nahitaji kukodi Camera mojawapo ya hizo kwa siku 4 au 5, najua security ya Camera ni muhimu hivyo niko tayari kumtumia Cameraman wako cha msingi awe na uzoefu plus...
mwelulila 08:35 10th September 2013
HP Compaq dc7900 Core 2 Duo E8400 3.0GHz
4GB 80GB DVD Desktop PC imetumika miez
miwili inauzwa,kama unahitaji n PM tuongee biashara
Kwa yeyote anyetaka hii software ani pm maana nimejaribu kui upload hapa ina goma ni nzuri kwa CV na interviews technique. youtube au google uone sample.Ni zip file unaitajikuwa na ISO burning...
Wana JF kama kuna ambaye anauelewa wa kutafuta client on line au nisaidieni mawazo cha kufanya ili niweze kupata wageni.
kama unaweza nisaidia au unamaelekezo naomba niandikie kwenye EMAIL hii...
kiwanja kinauzwa mbande dar es salaam kipo
karibu kabisa na uwanja wa mpira wa azam fc.
Kiwanja kipo sehemu nzuri kina ukubwa wa futi 60
kwa 50 bei milion tatu na nusu kwa
mawasiliano.0656 25...
Ninao dagaa safi wasio na mchanga kutoka BUKOBA. Dagaa hawa wana madini ya chuma ambayo huongeza damu. Jipatie kwa bei nafuu. Wapo ambao wamekaangwa na pia wapo ambao hawajakaangwa.
Waliokaangwa...
Habari,Nauza nguo za kike (Kwa bei ya nguo wasiliana nami ukimpenda) na viatu vya kike sh 25000 Kwa kiatu pamoja na sandals ya kiume tsh 80000....watsapp or text 0719 717555
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.