Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Situated in a good area, there are three apartments in this block. Preference is to rent all three flats to a single company, organization or individuals. New apartments, well built with good...
1 Reactions
3 Replies
964 Views
nauza vista ardeo imetembea km 45373 engine n vvti..cc 1800 ina spare tyre,spare key,redio,airbag. Ni ya mwaka 2002 ina namba CGA Iko vizuri sana unaweza angalia attachment photo niliagiza...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
betri na charger za canon 5d, 7d, 550d for sale betri @ tsh 90,000/= charger @ tsh 90,000/= contacts: 0713 888856 0716 191819
0 Reactions
0 Replies
714 Views
kiwanja kinauzwa mbande dar es salaam kipo karibu kabisa na uwanja wa mpira wa azam fc. Kiwanja kipo sehemu nzuri kina ukubwa wa futi 60 kwa 50 bei milion tatu na nusu kwa mawasiliano.0656 25...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
kiwanja kinauzwa mbande dar es salaam kipo karibu kabisa na uwanja wa mpira wa azam fc. Kiwanja kipo sehemu nzuri kina ukubwa wa futi 60 kwa 50 bei milion tatu na nusu kwa mawasiliano.0656 25 18...
0 Reactions
0 Replies
989 Views
Vitu vyope ni vipya na mtungi(kilo 16) unakua full na gesi yake ndani, ukifika nyumban we ni kuanza kutumia tu hamna kitu kingine cha kununua.NB: Vitu vyote ni vipya na utapewa na risiti halali...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Miguu 20*20 kama robo hekari hivi,kipo tambalare km2 toka mwisho wa lami mbuyuni Tsh. Mil5 txt:0656063933or PM
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Residential/ Commercial 1.5 storey house. 18 Self contained room (Suitable for Guest house or a Hospital) Has water supply (Dawasco and Borehole0 2.5 Acres plot all fenced 50m from Morogoro road...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
karibu sasa ujipatie kifurushi chako kuna punguzo la bei kwa wateja 10 wa mwanzo tunafanya huduma hii hata kwa walioko nje ya Dar es salaam wasiliana nasi sasa ujipatie kifurushi chako
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari, mwenye uwezo wa kusupply trey 300 za mayai kwa week awasiliane na mimi. Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wamajamvi karibuni nina kiwanja nakiuza kipo mtwara mjini, ni kikubwa(low density ya square meter 1500) kimepimwa hati bado haijatoka ndio naishughulikia muda wowote itatoka kwa wale waliowahi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Salaam wakuu, ninatafuta eneo la kununua hekari 10 katika manispaa ya LINDI. Naomba tuwasiliane, ahsanteni.
0 Reactions
0 Replies
975 Views
I Phone 4 32gb inauzwa nyeupe..imewasili nchini leo tar 8/9/2013 kutoka europe bei ni milioni moja na laki .. maelewano yapo. contacts: 0714 925 525 nipo DSM.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nina mahitaji ya gari aina yaToyota harrier lakini kwa kuwa humu kuna wadau wa haya mambo na waliowahi kutumia wanisadie hasa kwa issue ya bei kwa tz sh,fuel consumption,kupatikna kwa vipuri...
0 Reactions
30 Replies
64K Views
mwenye bajaji anaeuza tuwasiliane kwa namba hii0783907323
0 Reactions
4 Replies
2K Views
OFFER OFFER OFFER Samsung galaxy s4 GTi9500 700,000 tshs Samsung galaxy s3 Mini.....300,000Tshs Samsung galaxy ace advanced.....400,000Tshs All phones are original,new and unlocked...can be...
0 Reactions
1 Replies
813 Views
habari wadau,naombeni msaada kama kuna uwezekano wa kupata solar charger ya mini samsung laptop na bei yako,lakini option ya pili ni kuhusu solar power system yenye uwezo wa kuchaji laptop,simu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mambo vp wadau, nina photocopy mashine yangu imeroga leo. haitaki kutoa copy nikiwasha inaroad theni inaleta neno 202E. nimecheki katia mtandai code error hiyo inasema, Scan not leaving home...
0 Reactions
0 Replies
539 Views
Mgodi wa tanzanite ulioko Mererani, wilaya ya Simanjiro - Arusha unauzwa. Una leseni na umelipiwa. uko block D. uko vizuri. Bei ni 350m. Kwa anayehitaji ani-PM au email: haiksammy@yahoo.com
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom