Wadau mimi naishi Iringa mjini nahitaji shamba la kulima mahindi ambalo halipo mbali sana na mji kwa ajili ya msimu ujao wa kilimo kama heka tano hivi.Mdau yeyote mwenye ufahamu tujuzane maana...
Kiwanja kipo keko jerani namadawa kuenda posta haina haja yakupanda gari . Unaweza jenga vyumba kumi nahati ipo bei 5m . NiPm
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
am ally nauza camera aina ya casio megaplx 16.1 yenye memory ya 16gb optical zoom 12.5x,2.7/6.86 lcd lens 24mm and hd movie ni mpyaaa na kila kitu chake,like charger usb.bei ni laki 3.5,pia nina...
Exynos processor clocking with 4 cores each at 1.6ghz,
On board Ram 2Gb (ultra fast + no laggs no stack)
16Gb internal memory.
With S pen (free handwritting + wide range of apks usablity)...
Jamani wadau mwenye king'amuzi cha startimes anisaidie jamani tufenye kabiashara lakini kama ananisaidia tu ili namimi nihamie digitali maisha magumu jamani tafadhali kwani sote ni ndugu.namba...
Laptop Solar Charger LY-K1028
matumizi
1.laptops,
2.cell phones,
3.digital cameras
4.MP4,MP3 solar charger
kama unahitaji tuwasiliane
engmtoleraibrahim@gmail.com
bei TZS 300000/=...
Wanajamvi kwa yeyote mwenye mahitaji ya kufanyiwa tathimini za mazingira yaani EA na EIA kwa maeneo yote ya mikoa ya kanda ya ziwa tuwasiliane : elizabetiabd@gmail.com
Kiwanja kinauzwa kipo kigamboni mikwambe kipo karibu kabisa na kwa mizengo pinda.kiwanja kina ukubwa wa.
Urefu-miguu 20 ya mtu mzima
Upana- pia miguu 20.
gari inafika mpaka kiwanjani
Bei ni...
Macbook pro used in france in good condition.
Processor;Duo core clocking at 2.66ghz.
Ram 4gb,
Graphics: Nvidia get force (Duo)2 fast GPUs)
Hard disc 320gb.
15 inches display with shinny...
Ni BARAKA SOLAR SPECIALIST,Baraka Solar Specialist | Home ni wauzaji na wafungaji wa umeme jua (SOLAR) ambao utakufanya ujione tofauti na wengine.
BARAKA SOLAR Solar hatukuuzi vifaa vya solar ...
Kama mtu anauza hizo earphone za iphone please
Anitajie bei na kama unajua wapi zinapaitikana
Pia si mbaya ukinielekeza, naomba ziwe original
Thanks in advance
Kwa anayehitaji ani-PM kwa melekezo na kumuona
Bei ni rahisi sana, Tshs. 800,000/= (cash, one time payment)
Mbwa ana chanjo zote, yupo healthy na mnunuzi atapatiwa kadi ya clinic.
Asanteni
Kijana anaitwa kwa jina Kassim saad fundi mzuri wa kutengeneza Computer za desktop au Laptop yupo hapo Dares-Salaam namba
yake ya simu hizi hapa mbili ya kwanza 0716337032 na namba ya pili ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.