Kuna mtu wa Dar anatafuta pango la jengo kubwa la chuo Mbeya katikati ya mji, au forest au mwanjelwa. Ikiwa hata ghorofani ni sawa tu.
Kama kuna mtu anajengo hilo tuwasiliane.
Ni kitabu cha advance kwa wale wanaosoma chemistry ambacho kina topic zote za advance,yaani;
-General chemistry
-Physical chemistry
-Inorganic chemistry
-Organic chemistry
Pamoja na maswali...
A Lady is in need of a 2 bedroom apartment at Upanga Immediately. She would be willing to pay $1200 including service charges and security. An apartment should be unfurnished. Please email details...
Tanzania has dropped by one point in the Word Bank international doing business Index. Factors contributing to this fall include electricity problems in the country, problems with getting bank...
Habari wote ,
kama tittle inavyojieleza,
Nimeamua kuuza shamba langu ,maelezo kuhusu shamba ni kama ifuatavyo.
ukubwa:hekari 30
eneo:wami dakawa,karibu kabisa na ranch ya mzee mwinyi
faida:lipo...
big plots for sale at MADALE. plots are big and very nice. price are 135m, 10m, 14m, 15m. only 8km from tegeta road.
anybody who is interested and serious call 0782898210
0713507487
0767507487
Specifications:
8.0 million effective pixel CCD
15x optical Schneider-KREUZNACH zoom lens (28-420mm equiv.)
World's largest (3.5") TFT screen on a digital stills camera
Raw, TIFF and JPEG...
Projector inauzwa imetumika kidogo,ipo katika hali nzuri bila tatizo lolote bei 450,000.
General specifications:
Product name: ACCO Europe NOBO Projector
Model: S22E
Aspect ratio: 4:3...
Hello;
Nina mzigo wa mbao za mninga zenye ujazo wa 2*10*10,yeyote anayehitaji kununua kwa jumla au rejareja anaweza niambia anahitaji kiasi gani na tutaongea kuhusu bei kutokana na idadi ya mbao...
Hi wadau
ninayo Suzuki ambayo inasumbua sumbua na nimepata wazo la kununua engine complete na geer box. Suzuki yenyewe in Milango 3 na ipo moshi.
napendelea engine automatic iliyokwenye hali nzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.