Nahitaji ipad 4 ya haraka ambayo inaingiza line!!!iwe na 64gb....iwe ktk hali nzuri ncheki kwa 0712720080...
Sent from my BlackBerry 9000 using JamiiForums
Kama unahtaji Mwl mzuri wa ENGLISH COURSE na Tuition kwako kwa mfanyakazi wako ndugu na kwa watoto wako nyumbani au kazini kwako inawezekana kabisa kama unaish Dar/karibu na Dar na kwa bei rahisi...
Wadau ninauza mgodi wa Tanzanite. Uko Mererani, wilaya ya Simanjiro Arusha. Kitalu D. Anayehitaji bei ni maelewano. Kama uko serious ni pm. Leseni na kila kitu kipo.
Toyota carina ya mwaka 2000 imetembea km 80,000 engine capacity 1490cc imesajiliwa kwa namba ccj inauzwa kwa bei ya milioni 7.3 bei can be negotiate...tuwasiliane kwa 0717 022737
Nauza volkwasegen polo ina namba BNA bei inaanzia 4.5m (maelewano yapo)
Condition: Good
current problems:
1. break pad za tairi za mbele zimeisha
2. plug zimechoka
3. switch ya vioo vya...
Marketing Executive is urgently needed in Dar es Salaam. Skills required: Drive and determination, Creative to marketing trainings, good negotiating and interpersonal skills, a high standard of...
Habari zenu wakuu,
Ninauza Laptop yenye specification zifuatazo:
Aina:DELL LATITUDE E6400
RAM:2GB
SYSTEM TYPE:32-bit Operating System
PROCESSOR: INTEL(R)CORE(TM)2 DUO-2.40GHz
WEBCAM:YES
WIFI:YES...
Natafuta partners wenye viwanja vilivyosajiriwa ambavyo ni suitable kwa real estates projects kuanzia appartments mpaka commercial buildings wanaosubiri wawekezaji mbali mbali....hasa kwenye miji...
Nina Brand new Arnova Archos 3g ,4GB memory card,7inch display.Inatumia wireless,modem na sim card.ziko imported from Uk ,rangi ni nyeusi na iko boxed with all accesories.Bei 380000= mwenye...
Shamba liko bagamoyo eneo la makurunge, 16km kutoka bagamoyo mjini.
Lipo mita 100 kutoka barabara ya lami(bagamoyo to msata)
jirani pana visima vya maji havikauki,msimu wote wa mwaka
bei ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.