Nyumba Ambayo iko Kibaha kwa Matias...Ilipo shule ya Filbert Bay
Two House in One Plot. Na sehemu ya Kupaki Gari Ndogo
Zinauzwa zote Kwa Sasa Bei ya Milioni 90Tsh(MILIONI TISINI), kutoka bei ya...
habar ndugu zangu,nataka kuagiza simu ktk web tajwa apo juu,mimi nipo bukoba na nilijarbu kupitia ktk sehemu izo nikakuta simuu bei nafuu sana mfano samsung galaxy note2 usd$210 sasa sijui hadi...
mwenye samsung galaxy s4 i9500 au i9505, brand new full box kwa reasonable price anipm tufanye business
naomba mwenye mchina usijisumbue kwakuwa ninajua simu feki usije ukaniletea nikakupiga nayo...
nauza vista ardeo
imetembea km 45373
engine n vvti..cc 1800
Ni ya mwaka 2002
unaweza angalia attachment photo
niliagiza mwenyewe nimeitumia kama miez 7 haija wahi tembea nje ya dar haina shida...
nauza vista ardeo
imetembea km 45373
engine n vvti..cc 1800
Ni ya mwaka 2002
unaweza angalia attachment photo
niliagiza mwenyewe nimeitumia kama miez 7 haija wahi tembea nje ya dar haina shida...
Habari wakubwa, nna hiyo bidhaa hapo ni mpya naiuza kwa TZS 680,000/=
Inasupport sim card na ina uwezo wa kutumika kwa kupiga na kupokea simu, sms na huduma nyingine za simu. Internal memory yake...
Tunauza magari kutoka uk(used condition)offisi zetu zipo nkrumah street,dar es salaam.
Unatoa oda ya gari unalotaka from salon,4 by 4,trucks,ma tractor everything comes from u.k.
Unatoa...
Lipo karibu na njia panda ya kwenda mtambo wa maji Ruvu chini,barabara ya bagamoyo mlandizi kilometa 7 kutoka bagamoyo mjini,lina miundo mbinu yote maji na umeme,liko barabarani kabisa lina ukubwa...
inahitajika gari aina ya saloon yeyhaliote iwe gx100.alteza.spacio.carina.au vitz iwe na hali nzuri isiwe imepata ajali au kupigwa rangi kama unayo ni pm..wale wanaojifanya wanajua kuongea...
MBU ni tatizo kubwa kwa afya zetu na familia zetu kwa ujumla.Tokomeza maleria kwa kutumia dawa ya asili iliyotengenezwa kwa mitishamba.Dawa hii ukishaiweka kwenye umeme inatoa harufu nzuri...
Ninauza Shamba/eneo heka 2 maeneo ya Bukumbi-Mwanza,nikaribu na barabarani,anayehita kuona ama maelezo zaidi unaweza wasiliana na mimi kwa email:misasophie@yahoo.com
Nyumba kubwa inauzwa hapa Dodoma - Manispaa- Mtaa wa Usomalini jirani na bustani za CDA maili mbili
Nyumba hiyo ina;-
Uzio (fence) yenye ukuta mkubwa wa tofali
master-bedroom (Self-contain)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.