Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
get a stock management software for proper bussiness management. contact 0758401046. info@creativelab.co.tz
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Natafuta simu ndogo ya kawaida na inayoeleweka siyo fake atayoweza tumia babu yangu. Ipo 40000. Nistue 0752385949,0783055356
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kichwa cha habari kinajieleza,frame si kubwa sana ila ipo pazuri sana inatazamana na gate la shoppers plaza Mikocheni, kwa stationary mambo ya mpesa max malipo nk inafaa sana, pia hata activity...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
simu ni used na ipo katika hali nzuri na inaambatanishwa na vifaa vyake, yaani charger na Usb cable. Ni-check kwa 0716300091 au ni-pm
0 Reactions
0 Replies
602 Views
TATIZO LA KIBOFU CHA MKOJO (PROSTATITIS) Tatizo hili wengi wanalitambua kama tatizo la kibofu cha mkojo. Picha ya chupa hizo hapo chini ni virutubisho ambavyo vinasaidia kwa kiwango kikubwa tatizo...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nauza BB Z10 Tsh 800,000/=. Serious buyer please PM. Sababu ya kuuza ni kwamba nimeamua kubadilisha handset. Nimeitumia kwa miezi 3 tu.... ina box na kila ki2 chake.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa yeyote mwenye line ya wakala tigo pesa nahitaji. Nipo Dar es salaam, 0768497592.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sqm 2000 kina nyumba,bei 65 milioni na sqm 2000 kipo plane,bei 45 milioni.Barabara ni ya lami kutoka main road,barabara ya kawaida ni 100 mita mpaka eneo la viwanja vilipo.Huduma za maji na umeme...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
fish wa kufugwa zina dumu mda gani kabla ya kuanza kupata faida na pia gharama ya kuanza kufuga fish unatakiwa uwe na mtaji wa sh ngapi ukikodisha shamba
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale wanaohitaji viwanja vilivyopimwa Mbweni Dsm, ujazo ni sq m 1258 sq m 1100 sq m 950 na sq m 850 vyote vina hati kwa mawasiliano piga no 0773 944 944
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nahitaji set ya mashine za barkery, wapi naweza pata nzuri za kisasa hapa Dar.Wadau karibuni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam. Shamba la ekari 2 linauzwa eneo la sungwi bei ni tsh mil 6.. Kwa maelezo zaidi ni pm..
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nyumba inapangishwa maeneo ya Mbezi-malamba mawili. Ipo katika hali nzuri,ina vyumba vitatu,sitting room 1,na dinning room 1, ipo self container chumba kimoja vingine viwili vina vyoo vya ndani ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Laptop DELL INSPIRON N5050 inauzwa ipo katika hali nzuri kabisa (used for 1 month). SPECIFICATION: RAM 2GB, HDD 500GB, PROCESSOR 1.6GHZ, WEB CAM NA WIRELESS FEATURES. Bei ni Tsh 450,000 (Haina...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Nyumba zote hizo mbili zipo katika viwanja vinavyopakana. kiwanja kimoja kina ukubwa wa mita za mraba 303 na kingine 337. Viwanja vyote vina hata miliki. Bei ya jumla ya kuuzia nyumba zote hizo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bei Tsh 170,000
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Website :Kitomai Property and Real Estate | Tanzania Leading Online Property Listing Address :Block/Plot No 829, Upanga. Description : We specialize in locating for you a property...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Inauzwa Tzs 6.8M tu. Only serious buyers call 0754666555
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wadau nina generator yenye uwezo wa welding kwa hapohapo naikodisha ambayo inatumia diesel
0 Reactions
1 Replies
810 Views
Naombeni gharama ya kuazisha biashara ya duka kubwa za vitu vya kawaida za matumizi ya binadam
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom