Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kama kunamdau anachoanijulishe
0 Reactions
0 Replies
645 Views
Mitsubishi Pajero Short Chasis, inauzwa kwa bei ya sh. Million 7.5. Inatembea niko kwenye hali nzuri. Tatizo ililonalo ni la Umeme tu. Specifications: Deasel engine, Manual transmission, short...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
WanaJF natumai ni watu walioenda Shule na wenye Pro zao, yyt mwenye Dili anitonye linalohusu MECHANICS, DRILLING(MGODINI), au MARKETING RESEARCH OPPORTUNITIES, nilikuwa napiga kazi Mgodini NORTH...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Lina ekari 30,lipo along barabara ya Mkuranga-Kisarawe Road,100 mita kutoka shamba la Mama Salma kikwete.Umeme ushafika kijijini Hoyoyo.Linafaa kwa kuweka shule,yadi au kiwanda na kwa watu wa Real...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji battery ya hiyo mashine, mpya au used. Tuwasiliane kama unayo
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Natafuta chumba cha kupanga, kinondoni, sinza, maeneno ya mwenge, na msasani. kiwe masterroom, hali nzuri, kinafikika kwa urahisi na kisiwe uchochoroni.Kuna mdau bachelor anahamia dar hivyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, Photocopy mpya kabisa INAUZA,hutajuta kununua..Imetumika miezi 3 tu...bei ni 1.5 m,nauza kwa sababu nabadilisha biashara. Kama unaitaka piga 0767205419. Mahali ilipo;Ubungo Dar es saalam...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
tunauza kiwanja chetu kikubwa wastani goba kwa shilingi million 18 tu. kimepimwa NA kiko karibu NA barabara. ukitaka kukiona inaruhusiwa wakati wowote. utajiridhisha kwa namna yoyote NA...
0 Reactions
0 Replies
996 Views
vifaa vya salon vinauzwa,dryer 3 kila moja ni sh laki moja na nusu,wasiliana nami 0657690970,vinapatikana tabata bima.
0 Reactions
0 Replies
784 Views
StanBic utaratibu mlio weka mwezi huu unatutesa. tunalala njaa , check inaletwa tarehe 18 ili wafanyakazi tarehe 21 tuwe tumepata mshahara mpaka sasa mshahara bado, wengine hatuna pesa. mnasema...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
friji aina ya west point linauzwa,bei ni sh laki tano,liko maeneo ya tabata bima,kwa mawasiliano piga 0657-690 970
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 3081 kilichopo Block “F” eneo la Mwangaza Dodoma jirani na reli usawa wa Martin Luther School kwa bei ya Sh. 8,000,000/= (terms 33yrs). Eneo hili lipo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu natafuta kioo cha dell inspiron N5040,kama kunamwanajamvi anacho au anafaham vinapopatikana anitafute kwa namba hii 0719779990
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Nyumba inauzwa. Ipo Chanika Msumbiji karibu na barabara kuu ya daladala. Kiwanja kina ukubwa wa 25 kwa 16 na pia kina hati ya Serikali ya mtaa. Nyumba hiyo haijakamilika ipo kwenye lenta. Bei Sh...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu natafuta Land Cruiser pick up ya kununua mwenye nayo tafadhari tufanye biashara. Mawasiliano 0715246399.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu gari ka mpya mteja alitoa japan katumia miaka miwili tu inafaa biashara tax pm
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kiko Mbutu Kata ya Somangila Kigamboni Kilomita 26 kutoka feri ukubwa miguu 90 kwa 40. The property was legally acquired through willing seller and buyer. Sihitaji dalali wala bond its Cash non...
0 Reactions
4 Replies
937 Views
Viwanja Viwili vinauzwa haraka Eneo la Kwembe Kati ili Vijana Waende Vyuoni. Cha kwanza ni Saizi 42 x 32 Bei niShs Millioni 15, Cha Pili ni Saizi 25 x 50 bei ni shs 14 Millioni. Hiki...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
ANY SERIOUS SELLER ANICHEK 0786790942,BUDGET 1.4Mill, niko Tanga
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nahitaji hiyo tab haraka wakuu...me nipo Arusha,iwe katika hali nzuri na I we nyeupe au nyeusi...mwenye nayo aweke picha details na bei hapa au anipm...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom