Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
natafuta simu ya touch screen ya bei ya chini. isiwe na tatizo, iwe na intarnet, watsup, 2go na makorokoro yote. bei ianzie 50,000 mpaka 80,000. kama unayo 2pia status yako hapa chini nikipendezwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
HP Pavilon G6 620 Mpyaa 4GB ram, 500 gb hdd,17.3'' Hd screen,windows 7,card reader,webcam,wireless suport. BEI= 620,000/= contact 0714281313 au ni pm
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nyumba inauzwa maeneo ya tabata barakuda ina sifa zifuatazo ina vyumba vitatu,..master bedroom ikiwa imewekwa air condition chumbani ina vioo vya aluminium ina jiko ndani, store, public toilet kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari WanaJF.Nina NDOTO ya kusoma MD,Nimesoma PCB(2012)IIa POVERTY Holds me back.Tatizo ADA.HELP ME OUT P'SE 0659364407
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TOYOTA Cresta GX100. Km 150,000. 1988 CC. 1999Year. Location: ZANZIBAR Inaenda. 4.9m Fixed Call: # Rashid Abbas 0715394100. Only serious buyer. fp rancotrading
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Viwanja Vilivyopo Kigamboni Mwasonga (Karibia na Dar Es Salaam Zoo) Vinauzwa kwa Bei ya Shilingi Milioni Nane(8) Ni viwanja vyenye hati na Vilivyokwisha pimwa Tayari Kwa Mawasiliano...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Toyata nadia inauzwa , bei makubaliano , automatic, mialage 41,200km,full ac , excellent condition, pia toyota land cruise vx , Tel 0713-95-92-90 , 0687-57-34-34
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau gharama ya kununua kiwanja ambacho hakijapimwa ni kubwa mno ikiwemo kubomolewa nyumba na kuambiwa matumizi ya hapo ulipojenga siyo makazi na hapawezi kupimwa. Hivyo basi tumeamua kuwaletea...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za leo wanajamvi? Naomba msaada wa kupata Msichana wa Kazi wa Uhakika. Mshahara ni maelewano, ila inaweza hata kufikia Tshs. 50,000, inategemea na uzoefu na ufanyaji wa kazi. Kituo cha...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Je unatafuta watu wa kukuandalia katika shughuli yako?..Unatafuta chakula kitamu lakini hujui wapi pa kuanzia? ...Kwa mahitaji ya huduma ya vyakula,vinywaji katika shughuli mabalimbali kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu haya yote yana umiliki wangu. Hakuna dalali. Nimekamatika nahitaji kujikwamua. Jichagulie ni ipi unataka then ni PM. Ukitaka yote au mawili nakupa bei ya fungu.
0 Reactions
24 Replies
7K Views
bado iko safi kabisa, inauzwa kwa shs 110,000/= cash. Nicheki hapa 0714-408238.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hi, anayeuza stima na vifaa vingine vya saloon za kike tutawasiliana
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heshima kwenu,Kuna mwenye kuuza zuku humu jamvini?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi,wana jf, Nahitaj mashine tajwa hpo juu ya kusukwa hapa tz na sio used.Nimeambiwa mwembe chai ila cjaona.Npo dsm 0717539573
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bei 1.5M,call 0783145116 or 0756597108 if intrested,serious buyers ONLY please.Asanteni.Ni HONDA ACE CB125-D
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Wakuu nimezoea kuona haya madilisha ya aluminium ya rangi mbili nyeusi na nyeupe na hata kama utaona rangi tofauti kwa watengenezaji hazipo kama kuna mtu anafanya hii kazi na yupo mwanza...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nauza rav4, MWAKA 1998, RANGI. NYEUPE MILANGO 5 KM. 105000 Cc. 1998 Vibali vyote vina uhai hadi mwakani. Gari iko poa, Bei ni m11,
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu nauza blackberry 9300,imetumika kwa miezi 5 tu ina vitu vifuatavyo: -Wireless Fidelity(wifi) -3G network -External memory 8gb nakupa na 2GB kama bonus -Ear phone -USB cable -Ina support...
0 Reactions
4 Replies
731 Views
:clock: Wapendwa wafanyabiashara wenzangu, ninaomba mtu awayeyote yule atakayekuwa ana laini ya TIGOPESA na anataka kuiuza kwa mtu au amesikia mtu anauza laini hiyo aniuzie mimi Namba zangu ni...
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Back
Top Bottom