wakuu salaam sana .
mimi ni mfanyabiashara hapa mwanza ila hizi biashara za duka sio dili tena kwani serekali yetu sikivu imeitolea macho na huwezi pata faida.
Tra mashine ni 800,000
jiji...
Wadau shamba linauzwa
wanaotaka kununua shamba hilo ni ekari 50 zote zina hati 1 lipo kigamboni sehemu inaitwa mwasonga kwa million 950 bei itapungua kwa ataehitaji
Kwa mawasiliano ni PM namba...
DELL INSPIRON N5050
inauzwa ipo katika
hali nzuri kabisa (used for 1 month).
SPECIFICATION: RAM 2GB, HDD
500GB,
PROCESSOR 1.6GHZ, WEB CAM NA
WIRELESS
FEATURES.
Bei ni Tsh 420,000 (Haina...
ndugu wanajamii,naweza kupata kagari kadogodogo kama starlet glanza,duet na nyingine dzain iyo kwa million 4 ?? au yoyote nzuri,mafuta kuanzia km14/RTL kwenda juu, na iwe ktk condition nzuri body...
Morning to all friends.
Back in city of jam from Arusha Na sasa napenda kuchukua fursa hii tena kuwaalika kwenye Business Meeting itakayofanyika JB Belmont pale PSPF 4th floor alhamis ya...
Nina samsung galaxy s3 mini......ninataka kubadilishana na mtu mwenye Tecno Phantom A (F7) au htc yoyote nzuri.
#simu nimeitumia ina mda wa siku 4....badoo Mpyaa.......!!!! *kama unapenda...
Wakuu salama... ninazo daladala 2 nauza au kubadili na aina nyingine kama pick up, au hata saloon car yenye hali ya upya kwa ajili ya tax, hizo gari ziko kwenye hali nzuri na zote ziko kazini na...
Viwanja Vilivyopo Kigamboni Mwasonga (Karibia na Dar Es Salaam Zoo)
Vinauzwa kwa Bei Utakayomudu
KILA SQ METER MOJA NI SH ELFU SABA.
Ni viwanja vyenye hati na Vilivyokwisha pimwa Tayari
Kwa...
Wanajamvi, natafuta Frem ya biashara maeneo yafuatayo.
- Sinza
- Mwenge
- Kijitonyama
- Kariakoo
Sifa zinazotakiwa, iwe inatazama barabara kuu za mtaa au kwenye mkusanyiko wa watu wa kutosha...
Nauza Toshiba laptop
inch 15,
silver color,
2gb ram,
120 hdd,
inakaa na chaji lisaa limoja.
conatcts
0715353108
0756144060
mwamamalekela@gmail.com
reason for sale = nimenunua nyingine so i am...
Habari wa ndugu!! kama kuna mtu anahitaji nguo, viatu au kitu chochote kutoka india naomba anichek!! mm nina mtu kule nitamwagiza nitakuletea mzigo wako mpaka ulipo kwa garama tutazokubaliana...
Habari wadau
Nina emergency ninahitaji mkopo wa 6million, nitarudisha baada ya miezi 2 plus interest, nina gari kwa ajili ya collateral
Mwenye nia na uwezo wa kusaidia tuwasiliane kwa 0789737699
helow waungwana natafuta radio bomba la kula Mziki hom, iwe angalau na vikorombwezo vya kutosha yan cd, USB, tap etc... Pia iwe na spika kubwa zenye ujazo wa mziki wa adabu....mwenye NAYO anipe pm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.