Nahitaji smart phone iliyoko kwenye hali nzuri na vifaa vyake vyote.
Ie. Iwe na uwezo wa skype na camera preferably front and back camera na
Isiwe blackberry wala simu ya kichina
Mimi nipo Arusha
For serious buyers nauza desktop full set yenye specifications zifuatazo;
RAM 512MB
Hard disc 60GB
processor 2
Pentium 4,
Kama unahitaji ni pm au 0759146483
kwa Dar es salaam na Pwani...
Bloggers Seminar/Training
Habari za Leo wapendwa Bloggers, Nimatumaini yetu Mnaendelea Vizuri na Shughuli zenu za Ujenzi wa Taifa na Zaidi ya yote ni wazima kiafya. Kama Kichwa cha habari...
Salaaamz,
Nahitaji gari aina ya FIAT anayeuza/mwenye taarifa tafadhali anijuze. Tupia bei na location na hali ya gari hata kama haitembei(isiwe screpa). Tafadhal inahitajika haraka. Mtoa taarifa...
habari zen wana jf kna wino wa printer za CANON black na colored
black no 88
color no 98
pia ni orijino bei ni nafuu kabisa ni pm kama unahitaji npo dar
ni Ideos Google-$90,nokiac3-$75, nokia c5-$100, Nokia xpressMusic zipo mbili pia zinauzwa. simu zote zipo katika hali nzuri na hazina tatizo lolote.
mawasiliano zaidi piga 0714499248 nipo DSM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.