Habari wakuu hiyo ndo pikipiki yangu,ipo sokoni bei 1.5M.karibuni mni PM.serious buyers only please sana sana.imenunuliwa mwaka huu mwezi wa pili mwishoni so ndo kwanza ina 6 months na ipo vizuri...
Habari wakuu mimi nina eneo kubwa ktk nyumba yangu la kuweza kuwekwa hata mnara wa kama simu n.k nasikia wanalipa fresh naomba wakuu idea yenu kuhusu hii issue, je inakuwaje system zao na kama...
Anadawa hasili za kutibu na kuondoa kabisa tatizo la NGUVU ZA KIUME na kukupa uwezo wakurudia tendo zaidi ya mara 4 na kuchelewa kufika kileleni kwa muda wa ( dakika 30- 35 ) pia na kurefusha na...
Wakuu mambo vipi, mimi nina nyumba yangu ya kawaida yenye vyumba 11 na 2 baths iko simple ina uwa mkubwa kwa issue zengine.. kodi ninayo pata ni ndogo ss nilikuwa natafuta waungwana watakopenda...
simu aina ya samsung galaxy pocket 5800 nzima zinauzwa, zipo 8 na zimetumika kidogo south africa, Os ni android "eclair" unaweza upgrade ikatumia froyo.
bei ni 90,000/= kila moja. unaweza...
Msaada kwenye tuta. Nataka kuagiza gari Suzuki Carry ya mwaka 1999. CIF ni USD 2146 mpaka Dar. Je natakiwa nijiandae kodi na malipo mengine kama bei gani? Vipi nikiwa naweza pata exemption? Msaada...
Nauza Sony Experia Z imetumika mwezi Mmoja.
Ina internal memory 16 gb
Os Jelly Bean 4.0 upradable to 4.1.2
Water Proof
Unlocked
HD camera ya 13 Mp
Min Sim card
BEI Tsh 600,000
Mawasiliano...
Wazee wapi naweza pata wapi au badilishana rims za mtumba na wauzaji. Nahitaji size 16 au 17. kama inawezekana kubadilishana nikaongeza hela sawa au kama zipo za kununua yote sawa.
Rims zangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.