Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
wadau wapi nnapata aina yoyote ya piki piki aina hii, nataka niitumie kwa kuniwezesha katika biashara zangu, kutoka sehemu moja kwenda nyingine
0 Reactions
6 Replies
1K Views
PS2 Inauzwa...Padi Mbili,Na Game Moja 200,000Tsh....Bei TUnaongea..Codition yake ni nzuri sana Ina game ya pro evolution soccer Na memory card yake..... +255 756 412 337
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu Nahitaji ramani ya nyumba au mwenye Architecture mzuri anaechora ramani nzuri mzoefu wa kazi hii, anisaidiem,au pia anisaidie Website yenye mambo ya nyumba na muonekano wake...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Naomba msaada kama naweza kupata hostel maeneo ya upanga na gharama zake.
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Kwa wasifiri ni njia pekee ya kununua safari zako. Kwa matangazo ya biashara wasiliana nao, bei zao ni poa sana.
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Kiwanja cha metre 50 kwa 50 kinauzwa Goba, kwa maongezi zaidi piga no 0753 097863. Pia nyumba inauzwa tabata chama(segerea) kwa maongezi zaidi piga no 0713 334711. Kuona picha ya kiwanja na nyumba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya twangoma hadi kongoe, iwe ina vyumba vya kulala2 au 3,umeme na maji(ila maji c lazma sana)ila kuwe na uwezekano wa kupata maji eneo hilo,ukuta ikibidi.kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Solar ya kuchemsha maji inauzwa jijini Arusha,iko kwenye hali nzuri sana.ukihitaji maelezo zaidi piga tourismtanzania@yahoo.com Bei ni karibu na bure.!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Asali kutoka singida inauzwa kwa dumu la rita 20 kwa bei ya 170,000 kwadumu larita 20 haija changanywa nakitu chochote ni original ya nyuki wakubwa madumu yapo 8 karibuni simu 0712690760 ninayo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza Shamba Lenye ukubwa wa hekari 20 kwa shilingi Milioni Mbili Na Laki Mbili tu (2,200,000/=). Shamba Lipo KINONKO. Limeshasafishwa mara moja, kwahiyo sio msitu lakini Halijawahi kulimwa (kwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nyumba inapangishwa ipo Majohe Kilometa moja na Nusu kutoka Kampala International University (KIU) Gongo la Mboto. Ina vyumba vinne vya kulala (kimoja ni master), library, store, Sitting roo...
0 Reactions
6 Replies
954 Views
Habar wanajamvi simu hiyo hapo ni nokia lumia 620 inauzwa laki tatu na nusu haina tatizo lolote kama kweli unaihitaji piga simu 0713-626027 au ni sms.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau kwawale wenye kuitaji exteno (T)TRANSCEND GB 500 Inauzwa bei laka moja 100,000 ila mahelewano yapo ipo dar es salaam simu 0712690760
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Iwe eneo la Bunju, Boko au mbweni. Iwe imejengwa katika kiwanja chenye hati miliki. Iwe walau ina vyumba vya kulala viwili au vitatu. Hata kama haijakamilika. Ukiwa nayo tuwasiliane kupitia namba...
0 Reactions
2 Replies
784 Views
Wakuu ninauza Kiwanja chenye ukubwa wa heka moja kwa sh. mil 3.8 tu. Kiko Kongowe mwisho Mbagala Km 3 kutoka Barabara ya lami na gari linafika mpaka kwenye kiwanja. Tafadhali mwenye kuhitaji ani PM.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauza hiyo simu,ni mpya. Ina WhatsApp. Bei 110000 nicheki 0752385949
0 Reactions
2 Replies
990 Views
Wakuu nahtaji bidhaa hiyo, mpya au used (isiwe na mikwaruzo).
1 Reactions
0 Replies
728 Views
Habari wakubwa, nauza 1. Item: Macbook Air (Unopened) Display: 13.3-inch (diagonal) LED-backlit glossy widescreen display with support for millions of colors Storage: 256GB flash...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
I am a graphic designer and am holding a company dealing with graphic design and for us we don't take graphic design as a work of design only but also we have found branding is a mother of graphic...
0 Reactions
0 Replies
961 Views
Location(s) : Mbezi Beach or Mikocheni Property Type: House Dear Sir/Madam, One of my client who is serious on buying a luxury house He is...
0 Reactions
0 Replies
684 Views
Back
Top Bottom