Tunatoa uduma ya clearing and forwarding kwa wakazi wa tanzania nzima.makao makuu yetu yapo dar es salaam mjini mtaa wa nkrumah..tuna bei nzuri na uzoefu wa hii biashara takribani miaka 15...
Tuna deal na uuzaji wa magari aina zote toka u.k..offisi zetu zipo dar es salaam,nkrumah street.na london,uk..
Unatoa oda ya gari uipendayo,then unatoa deposit tukuletea gari.gharama za...
Habari jf.
Nahitaji kiwanja maeneo ya madale D'salaam. Bajeti yangu ni milioni 4.5. Mwenye kuwa nacho aseme kina ukubwa gani pia aweke mawasiliano yake. Sihitaji maeneo ya mabondeni na sihitaji...
Magari haya yafuatayo yanauzwa:
1) TOYOTA Nadia
Year of manufacture: 2000
Year imported from Japan: October, 2009
Engine: 1990 L
Seating capacity: 5 passengers
Colour: White
Mileage covered...
toyota surf
2l diesel engine type
manual gear 4wd
dar to chalinze lt 7
dar to arusha lt 45
vibali vyote inavyo haidaiwi
inauzwa millioni 6
kwa mawasiliano piga namba
0714198500
0712419419​
Nahitaji fundi wa kunifanyia wiring kwenye kanyumba kangu kapo salasala, kama wewe ni fundi wa umeme au kama unafahamu fundi mzuri wa umeme tafadhili niambie au niPM contanct zako/zake
Nyumba ya vyumba viwili na mbele kuna fremu tatu za biashara zilizopo karibu na barabara, ni pazuri pa biashara. Ipo Kivule Dar es salaam nyuma ya jengo la aviation kwa mbele kilomita kadhaa tu...
SECRETARY GENERAL (VOLUNTEER POST)
Location: Dar-es-salaam Brief description The position of executive secretary consists of providing high-level administrative support by conducting...
Heshima kwenu wanajamvi,Kuna jamaa yangu ana chaser gx100 vvti 2001 model silver anataka kubadilishana na verossa na yupo teyari kuongeza top up ya mpaka 5m to 5.5m kutegemeana na condition ya...
nyumba ipo dar kivule karibu na shule ya kivule ina nyumba viwili na ina vyumba vitatu vya biashara yaani frem zilizopo bararani ina uwnja wa kutosha kujenga tena bei ni mill 15(maelewano) eneo...
Wadau,kuna mtu anamfahamu fundi yoyote mzuri wa kuweza kutengeneza Bajaj aina ya TVS mana nna Bajaj ambayo nlinunua kwa mtu na kila siku ni majanga,mana mara leo Brek,kesho plug na kesho kutwa...
Wadau,nataka kununua hii gari,toyota ipsum ya kuanzia maisha,ila kabla ya mchakato naomba kwa anayeifahamu vizuri,ulaji wake wa mafuta,spare parts upatikanaji wake,kwa ujumla, uzuri na ubaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.