Begs jumla elf 35000 rejareja 40000 vinakuwa vitatu
Ni nzuri kimuonekano
Material ni nzuri sana
Tunapatikana Dar Kimara Suka
Tunafanya free derivery Tanzania nzima...
Canon ir 1730
Zinapiga kopy 30 kwa dakika moja
Zinauwezo wa kugeuza zenyewe
Zinaprint mbele na nyuma DUPLEX
Zina scan pia
Zina network system
Rahisi kutumia
Spea zake zinapatikana
Wino wake...
Natafuta gari tajwa hapo juu mwenye nayo isiwe ya udalali. Nahitaji gari safi ilionyooka bila vipengele offer yangu 9M.
Nicheki DM fasta angalizo gari iwe number D yeyote ile ila gari iwe...
Kwa mahitaji ya chakula safi na salad kwenye Harusi Send-off kitchen Pat Bathday mikutano Semina na hata misiba tupigie 0689198969. Tupo Kunduchi Dar es salaam. Tunakuletea ulipo.karibuni sana.
Shamba zuri sana kwa kufugia kitimoto linakodishwa. Lipo Kibaha Kwa Mathias
Sifa zake; mabanda mawili makubwa yanafaa kwa kufugia nguruwe, kuna store ya chakula cha mifugo, nyumba ya kukaa...
Habari zanu,
Natafuta shamba la kununua (siyo viwanja) kwa ajili ya kilimo na ufugaji, kuanzia ekari 5 hadi 10. Eneo liwe na ardhi nzuri kwa kilimo na ufugaji, maji yawe yanapatikana shambani au...
Solid State Driver (SSD) Ndo suluhisho la uzito wa Computer yako! Simple tu Unatoa Hard Disk unaweka SATA SSD ata kama machine yako ina Ram GB2 lakini ukiwa na SSD Computer yako itakuwa nyepesi...
Baada ya zoezi la kurudisha channel za nyumbani (local channels) katika king'amuzi cha DSTV bei yao ya kufunga king'amuzi kipya kuwa 59,000/ huku AZAM wakibakia na bei ya king'amuzi kipya...
Waungwana najua shida kill mmoja wetu humpata nakuamua kuuza kilicho chake hatakama anakipenda kiasi gani ili kimsaidie hivyo na mimi msaada wa kutatua tatizo langu nimeamua kuuza simu yangu...
Sehemu: MWANZA USAGARA-NYANGHOMANGO.
[emoji2518] Ina vyumba vitatu kimoja ni master, sebule, public toilet,
[emoji312] Kiwanja cha nyuma kilichobaki 15 kwa 23, unaweza kujenga nyumba nyingine...
Lipo Kijiji Cha yakobi
Katika halmashauri ya mji njombe
Mkoani njombe
Lipo barabara kuu ya lami ya njombe-songea
Kutoka bararani mpaka shambani ni umbali wa mita 850
Parachichi zina umri wa...
Iko katika hali nzuri ni ya January 2021.
Ina vitu na nyaraka muhimu kama ifuatavyo:
1. Bima hadi Feb 23
2. Latra hadi Jun 23
3. Mapato TRA hadi Dec 22
4. Imefungwa GPS
5. Imejengewa vizuri...
Habari wakuu
Kwa anayehitaji Containers za 40ft ziko katika condition nzuri kabisa na zipo nyingi kama unahitaji basi nicheki tuzungumze
Bei 4600 USD
LOCATION KURASINI
.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.