Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Gari ipo katika hali nzuri na imetunzwa kama 0Km, njoo na fundi wako uchukue mali. Contacts: 0746 931 556 Location: Mwanza Bei: 17M (Milioni kumi na saba ) tshs.
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jamvi, naanza kufundisha javascript programming. Focus kubwa itakuwa katika web development. Utajifunza dynamic web pages. Gharama ni sawa na bure, utalipia 10,000 na ntafundisha kwa...
5 Reactions
49 Replies
3K Views
Habar za jion wadau wa jukwaa Kwa yoyote mwenye mercury nyekundu nanunua tafadhali kwa bei nzuri kabi saa hadi mwenyewe ataridhika Na sihitaji nyingi nahitaji kiasi kidogo tuu kama unayo njoo...
1 Reactions
22 Replies
9K Views
Mahali: Kisarawe Kijiji cha Gwata (Appr. 60 km toka Mlandizi) Ukubwa: Ekari 47 Hali ya shamba: Limepimwa na lina hati ya kimila ya halmashauri. Shamba ni pori. Bei : milioni 7 (saba) tu kwa...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari za leo wana jamii. Ninatafuta connection ya kupata kuku wa kienyeji kutoka Tanga hasa wilaya ya Handeni kwa ajili ya kuwasafirisha kuleta Dar es salaam. Ninatafuta taarifa za minada ya...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Nauza kiwanja chenye ukubwa wa mita 25 kwa 20 kilichopo Mabwe Pande karibu na mto Mpiji kwa Tsh 5M. Umeme upo tayari kiwanjani na pia Kiwanja hiki hakijapimwa. Nipigie 0736770052
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Bei isiwe kali, zingatia yafuatayo 1. Uwe na risit ya tv 2. Kama hauna risiti tunaandikishiana pamoja vitambulisho na passport size 3. Isiwe imeguswa na fundi 4. Bei iwe ya kitanzania Picha...
0 Reactions
0 Replies
279 Views
Shamba linauzwa, linafaa kwa kilimo Cha parachichi, miti ya mbao, maharage n,k Lina ukubwa wa eka 50. Bei ya kila eka ni tsh laki tatu na Elfu hamsini (350,000=) Shamba lipo Kijiji Cha mfriga...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani naombeni msaada wa mawazo juu ya kufanya malipo online nahitaji kulipia visa ya Canada Leo siku ya nne. kila nikilipia sipati OPT code kutoka bank ili niingize kukomferm malipo, lingine...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
IPHONE 13 mini Battery 97 Apple warranty till Dec 2022 LLA UK PRICE 1,950,000 Call: 0767507487
0 Reactions
3 Replies
508 Views
Habari natanguliza salamu napenda kuwakaribisha ktk matengenezo ya tenk,trela aina zote kurefusha gari nk karibuni sana
0 Reactions
3 Replies
375 Views
Maelezo: Shamba linauzwa Liko maeneo ya Lutukila,Madaba(Km 1 kutoka barabara ya Songea -Njombe)Ukubwa wa shamba eka 100; Mazao yaliyopo,korosho eka 20,mitiki eka 5,parachichi eka 3,Kuna bonde la...
0 Reactions
1 Replies
979 Views
OFFER OFFER OFFER, NAITUPA NOAH SR40 KALII SANAA TOYOTA NOAH SR40 MPYAA SANAA CURRENT REG: DHA ENGINE SIZE : 1990 CC Engine Type; 3s AUTOMATIC TRANSMISSION 2-WD DRIVE LOW MILAGE FROM JAPAN FULL...
1 Reactions
1 Replies
599 Views
Ipo Kibaha kwa Mfipa, ni kama 5 toka barabara kubwa inauzwa ml 90. Huduma ya maji na umeme vipo karibu, ina kisima cha maji pia, nyumba kubwa ya vyumba 3 na master. Pia kuna nyumba ndogo yenye...
4 Reactions
6 Replies
853 Views
Nyumba imekamilika BOMA lenye vyumba vitatu kimoja masta, mashimo ya choo tayari nishafunika , fensi tayari imekamilika. Naiuza mimi mwenyewe mmiliki hakuna dalali , ina square mita 400 , ipo...
0 Reactions
0 Replies
512 Views
Jamani wana Jamii Forums natafuta kioo cha Samsung galaxy s8+
1 Reactions
1 Replies
592 Views
Jifunze kiingereza kwa kiswahili. Vitendo (verbs) vipo vya maumbo tofauti, kama vile tulivyoona go/ went/ gone/ going/ goes nk. Ila hapa tutaangalia yale maumbo matatu tuliyosema Jana , umbo...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
CROWN ATHLETE MPYAA SANAA (DMW) Y.O.M 2006 Low Mileages Engine 4gr Cc 2490 Full Ac Full File With sports rims & good tyres Well maintained Clean in and out All duties and tax payed *Price...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
NAITAJI JIKO LA NYAMA(USED) KAMA KWENYE PICHA HAPO CHINI> KAMA UNALO NAOMBA NI DM MAWASILIANO YAKO.
1 Reactions
3 Replies
469 Views
Hiyo nyumba inauzwa ipo kimara suka ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master na jiko store public toilet na sitting room na dinning Room eneo lina ukubwa wa 25x27 Bei milioni 50
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom