Habari waungwana,
Naomba msaada wenu, ni wapi naweza kupata simu TECNO N7 kwa Dar es Salaam.
Pia napenda kujua naweza kuipata kwa shilingi ngapi kwa sasa?
Nipo Ifakara, Morogoro.
Plot inauzwa Mpiji darajani, ni karibu na bunju mwisho, karibu na bara bara, dakika 5 kutoka barabarani kwa mguu.. ina upana wa foot 20 na urefu wa foot 30... bei ni 4.7M..
kwa mawasiliano...
Office space available for rent at TIRDO Complex - Msasani with Square Meters: 750, Easy access from Kimweri Avenue Road.
Features:
* Electricity-Mains supply
* Shared Water supply.
*...
Yule bingwa wa dawa za asili kutoka Tanga dr Alhaji Yahaya .ni bingwa kutoa mazindiko ndani ya miji sasa yupo kanda ya ziwa ni Lamadi Magu. Ni bingwa wa kufanya biashara yako iwe nadhifu, kuosha...
Program ya iCare Data Recovery ina uwezo mkubwa wa kurudisha data zote zilizopotea au zilizocorrupt katika flash. Bei ya kurudisha data hizo inategemea na ukubwa wa flashi yako. Kwa mawasiliano...
Kiwanja kinauzwa mita 30 kwa 30 kipo KIMELE (km 3 kutoka Bunju mwisho) kipo kwenye mchakato wa kupimwa. Bei ni Mil 7 maongezai yapo,Kwa maelezo zaidi ni piga 0713445656
Wakuu kuna kiwanja kinauzwa maeneo ya kimara king'ong'o km kama 3 ukitoka kituo cha kimara mwisho
kuingia ndani. Ni sehemu ambayo watu wanaishi kuna umeme na kila kitu yani pamebaki hapo tu...
Camera Zingine zinauzwa...Kama Title inavyo Sema
Camera Zote Mbili Kwa Lak.Mbili Tuu!! Yani 2 For 2
Camera Used Ya aina Panasonic Lumix Yenye 14.1MP 5X Optical Zoom!!
Na...
Tunatoa ushauri wa bure hususani kwenye masuala ya ujenzi naubunifu wa ramani za nyumba aina mbalimbali,haishauliwi sana kwa wateja kununuaramani barabarani au kutumia uzoefu kwenye masuala ya...
Habari zenu nauza camera mpya aina ya canon ixus 220 hs ina mega pixel 12.
Unaweza kuigoogle kupata details zake muhimu. Picha zake zina quality nzuri sana
0717183929 ukiipenda tuwasiliane. Bei...
Wadau na Marafiki JF..! Karibuni sana kwenye HOTELI yetu mpya inaitwa PENGUIN RESORT HOTEL,Iko Sakina mita 900 toka Triple A Night Club. Tuna vyumba 31 vyenye hadhi na ubora wa juu,kuanzia maji...
ANNOUNCEMENTS:
1 Bed room Service Apartments at Nelly's Inn Mbezi Beach:
Nelly's Inn is proud to offer a few Apartments now available for just a fraction of the hotel rates.You get to live in...
ukubwa wake ni hatua 20 kwa 14,zuri linafaa kwa ujenzi wa makazi,ni zuri tambarare,lipo karibu na kituo cha basi magengeni,bei yake ni tsh 3500000/-anayehitaji anipm.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.