Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Tafadhali wakuu alie na laptop anayoweza kunipatia kwa laki 2.5 ani PM. Iwe kwenye hali nzuri na naprefer mini
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Imeingia nchini mwezi mmoja uliopita. imetembea Km 70,000 ni ya mwaka 2002 Price 14,000,000 kwa mawasiliano zaidi piga 0717354243
0 Reactions
13 Replies
8K Views
tangazo nyumba zinapangishwa. nyumba (nzima) inapangishwa. ipo nkuhungu north. vyumba vitano (5) vya kulala vikiwa na tiles (marumaru). sebule, jiko, choo, bafu na uzio wa ukuta. milango na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
No.e bhgnhjlh gjh
0 Reactions
0 Replies
881 Views
CLICK THE LINK BELOW Hermes Power Inc: PLOT FOR SALE IN DAR ES SALAAM,TANZANIA
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Wana JF. Juzi kati nilipost spy watch na pen. Sasa imebakia moja nayo ndo hii,ilikuwa niiitumie mwenyewe sasa nimeamua kuiweka sokoni.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Sony playstation 2 with 2 controllers ,more than 10 games for sale tsh 280000 contact 0712652110 in dar
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Galaxy s2inauzwa 350000.ila tatizo la kuuzwa bei hiyo ni sababu imepasuka kioo.otherwise haina tatizo lingine lolote.pm serious buyer only
0 Reactions
2 Replies
927 Views
BB 9790 for sale , mint condition, comes only phone Price 250,000 tshs only Inauzwa kwasababu nimepata simu nyingine Contact 0719946994
0 Reactions
3 Replies
700 Views
Habari, Nafanya factory unlock kwa iphone model zote kwa bei nafuu kabisa, nitumie imei namba (dial *#06# kupata imei namba) ili niweze kujua simu yako iko locked katika mtandao gani na kukupatia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu... Msaada Kwa yeyote anaejua fundi wa ps3 au vitu vya electronics electronics. Nomb Yangu ni Hii...+255 756 412 337
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mchungaji huyu anahitaji chuo cha kujiendeleza kielimu ndani ya tz au nje ya tz namba yake ni :0759940988 kwa yeyote anayeweza kutoa msaada apige namba hizo.....
1 Reactions
3 Replies
982 Views
Wadau husika na heading kwa Dar naweza kupata duka gani linalouza Sony play station 3 mpya (sio used) kwa reasonable price? Kama hutojali naomba usinitajie 'GAME SUPERMARKET' Na price zake...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari, Natafuta bodi ya Suzuki carry au Daihatsu hijet truck; ikiwa na chasis itakuwa poa zaidi. Tafadhari kwa anaejua wapi naweza kupata ani PM. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wakuu nauza modem ya voda aina ya k3573-z, nimeichakachua waweza kutumia laini yoyote kwa anayehitaji anitafute hapa 0715304808.Bei ni tsh.20,000/=.ila haina kamfuniko ka mbele kama inavoonekana
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kiwanja kizuri eneo la tambarare,kimepimwa,kina hati,umeme upo karibu,maji yapo yanapatikana,km 5 kutoka barabara ya morogoro,barabara inapitika muda wote,ukubwa wake ni hatua 70 kwa...
0 Reactions
0 Replies
833 Views
simu Used ila bado mpya ya 2012. touch screen plus keypad na ina vitu vyote vya kijanja.call: 0656063933 or PM nipo dar es salaam.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Samsung cellular tablet 7 inch unlocked to any network for sale tsh 650000 ,The tablet is in goood condition .call 0712652110 DAR
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Ina 3g,installed application such as instagram,picmix,whatsapp and much more,ipo katika hali nzuri,laki na sabini,discount tunaongea
0 Reactions
3 Replies
774 Views
TOYOTA RAUM. Year 1997. CC. 1490. Model no E-EXZ10. Tsh 8,000,000/= Contact: 0684800884 Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom