Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
  • Closed
Asante JF, zimeuzwa zote.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
dell computer without monitor inauzwa. processor:2.9ghz Ram:384mb HD;40GB call: 0656063933 or PM
0 Reactions
4 Replies
864 Views
wakuu nauza smartphone zinazotolewa na kampuni ya buttonpay ambayo utaweza kuwa wakala wa kuuza luku, vocha za mitandao ya simu pamoja extreme na huduma nyingine za mobile money... bei tsh 120000...
0 Reactions
3 Replies
988 Views
Kwa anayehitaji kuku wa kienyeji majogoo ni mazuri yana uzito wa kilo moja na nusu au zaidi baada ya kuchinjwa bei ni TSH 15000 mpaka 20000 kulingana na uzito na ukubwa Mayai trei moja TSH 15000...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Used Hp ProBook 6440b core i5 specs hdd 320,3gb ram web cam inakaa na charge Tatizo: shift key+control+alt key hazfany kaz contacts: 0715616364​
0 Reactions
2 Replies
804 Views
Isiwe mbali sana na mji. Tafadhali kama unaweza nipe specification pamoja na bei zake. Asante.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wandugu, Natafuta mahali ninapoweza kupata german shepherd mwenye umri usiozidi mwezi mmoja. Mwenye kujua mahali wanapopatikana anifahamishe na bei yake pia kwa mmoja. Nahitaji wawili
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Visit this link for more info http://StartReferralJob.com/index.php?refcode=128899
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni Model ya mwaka 2000, Imetembea Km 122,000. Engine Capacity 1330 cc, Number T BDU.... Gari inatembea, Iko Dar es Salaam. Inauzwa Mil 6.5 Mwenye Offer PM tafadhali ...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jenereta aina ya Honda, 2200GF2 Inauzwa kwa bei nafuu,Ipo kwenye hali nzuri,imetumika kwa mda wa mwezi 1 tu,kwa maelezo zaidi wasiliana nami kupitia 0659606000
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Generator. MOD.2200GF2 RATED VOLTAGE. 220V RATED FREQUENCY. 50Hz RATED OUTPUT. 2.0kw MAXIMUM OUTPUT. 2.2kw POWER FACTOR. 1.0 SINGLE PHASE GASOLINE GENERATOR
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Gari aina ya suzuki inauzwa kwa bei poa kwa wale wafanya biasha inafaa sana,gari bado mpya kabisa ina plate # ya C..
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hallo, Unahitajika Mkopo wa Bei Nafuu kwa ajili ya Kufanyia Finnishing Apartments 4. Mradi Uko Ilala. 12.8Kms from the Heart of the City(Dar Es Salaam) Muda wa kurejesha Mkopo Ndani ya Miaka...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Nokia hiyo inauzwa 2nd hand bei nafuu kabisa imetumika miezi mnne bado ina gar'nt ya miezi sita
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Make Scania Model 93 HP 280 Year 1994 Km 750.000 Configuration 6X2 Bei CIF Tsh Mil 33
0 Reactions
1 Replies
5K Views
za week end wandugu; wajameni, nimeanza kukamata ngawira huku majuu na Mungu akipend nikitia mguu bongo nitaendesha kamashine kangu binafsi ka kwanza maishani mwangu. sasa naomba mnisaudie...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
jamani kwa wale wapenz wa shisha kuna ambayo inauzwa bei maelewano alie tayar 0764606878. iko vizuri kutoka sauzi.. ni beep ntakipigia watu wangu wa nguvu...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Yeyote anayetengeneza chuma za mapazia Arusha ani PM please. Regards, Jonathan.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Members kuna kiwanja kinauzwa maeneo ya Kwembe kijijini(Mbezi mwisho kwa mbele). Ukifika makondeko unaingia kushoto.Kina ukubwa wa 28x30. Mimi sio dalali na wala sio muuzaji wa kiwanja ila...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom