OVERVIEW
Market Status Released
Release Date May 2012 (1 year ago)
DETAILS
Operating System Android
Operating System Version Android 2.3
User Interface Android
Keypad Options Touch Screen Keypad...
naomba msaada ndugu zanguni, naitaji kuagiza simu kutoka ebay,naomba kufaham jinsi ya kuagiza mpaka kunifikia natakiwa kutumia proces gani na je bank gani ambayo naweza kupata msaada kwa haraka
wakuu nahitaji huduma ya printing ya banner kwa affordable price,banner yenyewe iwe na ukubwa wa 260*343,ni coloured ,na iwe na material mazuri,mwenyewe huduma hii naomba ani PM
Wadau nauza Laptop adapters za Aina zote. Bei ni 35,000 TU. Toa order nitakuletea ulipo au maeneo jirani. KAribuni
Kwa Mawasiliano piga namba 0658663325-
Wana jf
nina spy watches saba bado mpya zipo kwenye maboksi yake na usb cable zake,zinaweza kuchukua picha,video,na mp3 kwa high quality,bei laki moja na nusu abo....,mwenye hitaji anitumie sms...
Nyumba iko musoma mjini,tuna itaji kubadilishana na nyumba iliyopo:dar es salaam,arusha,mwanza,morogoro au moshi.
Nyumba imegawanyika seheme mbili mbele na nyuma.nyumba ya mbele ina vyumba vinne...
APCS TANZANIA(AFFILIATED TO AMREF TANZANIA)
· NI ASASI ISIYO YA FAIDA ILIYOSAJILIWA KUTOA HUDUMA HAPA TANZANIA
· A PSYCHOSOCIAL CONSULTANCY ORGANIZATION
· TUPO...
Hi, mim ni mwajiriwa kampuni binafsi, nataka nunua gari dgo kama vits na starlet, badget yangu haizid milion 6, ila ntangulize 1.5m then nitoe laki 5 kila mwezi mpaka deni liishe. Kwa aliye tayari...
T22 Car Tracking Device"The Trusted Friend for any Car or Fleet Owner"
T22 Car Tracker enables you to know always where your vehicles are and is easy to install to any car, truck or heavy vehicle...
Zote zipo kwnye condtion nzuri labda kwa hiyo blackbery kuwa ma scratchs kidogo la siivyo vyote vina piga mzigo kama kawa..
OFA OFA OFA!!
FIKA BEI THEN NI PM FASTER!!
Habari za wakati huu ndugu zangu..mimi ni mkazi wa jiji la dar-es-salaam.
#nina miliki Blackberry Bold (Nyeusi), ningependa kubadilishana na Samsung galaxy au HTC..!!
#### kama unamiliki moja...
Wadau! Nyumba inauzwa Tsh millioni 20, ipo Ukonga Kipunguni, jirani na barabara. Haijakamilika imefikia katika lenta. Ni vyumba vitatu na ramani yake ni ya kisasa kabisa. Mwenye kununua anaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.