Sababu za kuuzwa bei hyo ni kwamba ina tatzo la sauti, ukipiga au kupigiwa hausikii sauti. Ila kuhusu CARRIER NETWORKS inaunga line zote, na unaitumia JF, Whaatsap, badoo, FB, twitter, instagram...
nyumba inauzwa ipo maeneo ya ubungo external haioko mbali kutoka stand ina vyumba 4 na sitting room kubwa na jiko ndani pia ina fence ambayo magari 5 yanaweza yaka park...inshort nyumba iko...
Wakuu kwema? Natumaini mko sawa na maandalizi ya kumpokea Obama yanaendelea vizuri sana. Wakuu ninataka kuanza ufugaji wa kuku wa Nyama na mayai, ninahitaji kijana mzoefu aliyewahi kufanya hii...
Natafuta chumba cha kupanga (Self Container) Maeneo ya kuanzia Tabata shule hadi Segerea.
KISIWE MBALI SANA NA BARABARA.
Kiwe na maji
Kiwe mazingira mazuri
Kuwe na Usalama wa kutosha
Kama una...
Nauza Pikipik bajaji platina 125cc, imetumika miaka miwil sasa kwa kuendea ofisin. Bei ni 1200000, maelewano yapo kodgo. Nina shida na pesa haraka, tafadhali serious buyers contact me on kwa Pm.
habari wa JF nina ps 2 nauza ipo kwenye hali nzuri. inatumia flash kucheza games, chaji, video wire na padi 1. Kama unaitaji nicheki kwenye 0716-369299. bei ni 170,000/=
VIWANJA KWA BEI YA KUTUPA........
ENEO;block 2 na block 3,mbezi kwembe.Kinondoni Municipal
BEI;9500Tsh kwa sqm 1
Maelewano yapo,vimebaki viwanja vitatu
Vimepimwa na viko kwenye ofa...
Salaam sana
Je; wewe ni mwanasiasa, mfanyabishara au raia ambaye maisha yako yako au familia yako hatarini?
Je, unahitaji Body Guards au Detectives ambao wamepitia mafunzo maalumu?
Tunatoa...
Handmade, moisturizing soap with Unrefined Shea Butter and Zanzibar Baobab Oil.
Contact Flavor on 0779000710
REVIEW
Smells wonderful"
This soap is probably my favorite, so far. The smell is...
Kama unauza berti nzuri za magari ni PM tafadhali ukiambatanisha vitu vifuatavyo:
1.Aina ya berti (mfano R.B, ATLAS n.k).
2.Warantii kama ipo na ya muda gani.
3.Utauza kwa jumla au reja reja...
Kiwanja cha 35" kwa 40" maeneo ya changanyikeni.
Kimepimwa na kina hati,eneo ni tambarare zuri kwa ujenzi
Kipo mita 500 toka barabara ya changanyikeni
BEI;Milioni 48 Tsh.
Mawasiliano; 0759149202
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.