Ninauza simu yangu bb 9700 laki 230,000 haina tatizo lolote, ina usb na earphones zake na m.card ya 2 gb. Niko Dar es Salaam kama unaihitaji. Asanteni.
Sent from my BlackBerry 9700 using...
Nahitaji simu tajwa hapo juu ila isiwe product ya china tafadhari zaidi ya tecno tu!ikiwa na sifa zifuatazo:
1.internet yenye kasi 2g au 3g ...
2.screen size kubwa iwe rahisi kusoma documents...
Heshima,yenu wana jf,,
naomba mwenye kufahamu au kuelewa vyuo vizuri vinavyofundisha masomo ya baby care na nursery teachings,anisaidie kunijulisha na taratibu zao,ikijumuisha adaa,kama...
Habari wana JF.
Natafuta mpishi amabae yupo tayari kufanya kazi na UK company amboyo inabranch dar. Vigezo ni awe profesional one ambae ana experience na foreigners na kama ameshafanya kwenye...
Ni rangi nyeusi,8gb internal memory,inapiga net kama kawa,haina scratch,imetumika miezi mitatu tu. Bei ni laki 3 unusu/350000, nitext 0659604089
lumia 610
Plot inauzwa maeneo ya mabwe pande ipo kilometa tatu (3) kutoka barabara kuu iendayo bagamoyo, unaingilia kwenye barabara kubwa iendayo kwa wahanga wa mafuriko lakini unayapita yale makazi...
Wadau naishi Wilayani pembezoni kidogo na naona mahitaji ya huduma bora ya internet kwa vijana wetu na wananchi kwa ajili ya mawasiliano ya TEHAMA.
Kwa wadau na wajasiliamali wazuri wa kuuza...
2009 Yamaha XT250 Dual Sport.
White, Blue and Black.
Less than 1000 miles.
As good as new.
imported from USA.
Price Tshs 7.5 Million Or Best Offer.
Contact 0656607933 for price and...
Nauza Used Desktop Computers Nne aina ya Dell Optiplex 620
Zipo 4 na ni kila moja ni complete pamoja na original screen, speaker, mouse na keyboard.
Zinatumia Windows XP.
Kwa specifications...
nahtaji desktop(full)..iwe na monitor flat screen..ni ubungo dms contact 0768497592.
Kama unayo na unauza toa varryfication za computer yako then tufanye biasha. Price 200,000 inaweza kupungua au...
Kiwanja
kikubwa kizuri cha kujengeachenye hati kinauzwa maeneo ya Kibada kwa
shillingi mil. 25 na maelewano. Kwa anaehitaji tafadhali ani PM na kama
kuna madalali, tafadhali tuwasiliane pia.
Ipo karibu na klabu ya yanga,bei Mil 600. Ina hati na unaruhusiwa kuhakiki. Siriasi buyers wani PM. Kama we ni dalali nijulishe tuelewane kabla ya biashara kufanyika.Maoengezi yapo.
Sokoni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.