Natafuta ma argent wanaoingiza chewing gum za batook hapa Tanzania nataka niweke kwenye duka langu la jumla, kwa anaye wajua naomba msaada wa contact zao.
Wanajamvi
Nimeamua kurudi kijijini kuondokana na joto kali la jijini hapa hivyo nauza kagari kangu MARK II GX 110. Bei ni ml. 7.8. Namba ni T 204 BEJ
Napatikana katika simu no 07 86 29 45 45
Wanajamvi
Nimeamua kurudi kijijini kulima kuondokana na joto la jijini hapa hivyo nauza kagari kangu TOYOTA MARK II GX 110
Bei ni Ml.7.8, Namba ni T 204 BEJ
Mteja serious anicheki ktk namba 07...
Magari haya ni mapya kabisa. Yanakodishwa kwa ajiri kutembeza watalii sehemu mbalimbali kama vile kuwatoa Airport kuwapeleka hotelini, kuwatoa hotelini kuwapeleka kwenye vivutio mbalimbali vya...
PDIDY BAOBAB OIL CENTRE
WAUZAJI WAKUBWA WA MAFUTA YA UBUYU WANAKULETEA PUNGUZO LABEI MAALUM KWA AJILI YAKO WEWE MTEJA
MAFUTA YA UBUYU NI MOJA YA VIRUTUBISHO MUHIMU KWENYE MWILIUMUHIMU WA MAFUTA...
Wapendwa wana JF, hivi karibuni majirani zetu (Kenya) serikali yao ilizi-block simu zote walizoziita feki na wakatakiwa kununua simu original.
Ombi langu kwenu ninyi wataalamu wa simu naomba...
NOW ON AUCTION by a mnada.co.tz Verified Seller-> a Used Macbook Pro Display: 15.4-inch (diagonal) >>>CURRENT BID TSH 500,000.00/= Click link below to bid. You must be a registered member to...
Je wewe una ofisi na umekuwa ukitumia pesa nyingi kwa kulipia internet? Sasa unaweza kuokoa pesa yako kwa kutumia sh.10,000 kwa week sawa na sh. 40,000 kwa mwezi bila kikomo,(unlimited) huku ukiwa...
habari zenu, nina shida ya chumba cha kupanga(self) maeneo ya mwenge,sinza,makumbusho,victoria,ubungo.
kiwe na umeme na maji.
bajeti yangu ni 100,000.
NB: Kodi miezi sita.
asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.