Habari wanajamvi wote. Nampango wa kuanzisha shamba kubwa kwa kilimo cha mazao ya chakula na biashara. Mimi naishi Tanga mjini, maeneo ambayo natamani kufanyia kilimo hicho ni katika wilaya za...
Nahitaji korosho kwa wingi kwa bei ya jumla. Nitapata wapi kwa hapa Dar es salaam? Huwa naziona madukani na kwa machinga lakini sifahamu wanazijumua wapi. Naomba msaada wa taarifa kwa anayefahamu.
Wenye Makampuni ya Kuprint vitabu nitafuteni kupitia e-mail: mathew_p_2002@yahoo.com. Nina vitabu vingi vya kuprint lakini natafute mtu mwenye bei nzuri na quality, atakayetuma competitive...
nokia e71 inauzwa sh100000 bado mpya wahi ofa hii kwa mawasiliano zaidi call me 0764339400 mie niko mwanza town kama upo tayari usini pm coz siingiagi humu mara nyingi
Natafuta milango 5 ya mbao, mkongo (frame na top). kati ya hiyo 4 ni singo na 1 ni double.
Tafadhali nipe Bei kama unahusika.....nitaenda kwa atayenipa bei nzuri
Kwa nitakayefanya nae kazi...
android system Ina 3g,application program installed like instagram,whatsapp,fb,twiter,keek,tumbler,jamii forum,funny jokes and so much more,inauzwa pamoj na memory carf...laki mbili tu kazi kwenu...
Wadai hii ni mara yangu ya kwanza kuongea jamvini. Nina wazo la kuanzisha kilimo cha miti ya asili kwasababu miti ya asili inakatwa kila itwaapo leo na hakuna juhudi za kupanda mingine ku replace...
Shamba la ukubwa wa Ekari saba(7) linauza kila Ekari kwa Shilingi Milioni tatu (3,000,000/=) ni heka zilizotimia kivipimo. Linapatika Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani barabara ya Morogoro Road...
Nakihitaji,mtaa wowote,ilimradi kiwe na hati(Title deed)kwenye jina la muuzaji.Malipo ni kupitia kwa mwanasheria na bank.TZS 80M(Million themanini pesa ya kitanzania) ndio pesa ya jumla sina pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.