Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
mwenye hiyo cmu ani pm,vilevile nauza tecno n3
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ina 13GB memory, 512 ram. Nauza only 380,000/= mwenye interests nichek 0765746450
0 Reactions
0 Replies
558 Views
ni toshiba tablet T100,INA CAMERA YA MBELE NA NYUMA,WIFI,KIJISEHEMU CHA KUWEKA FLASH@HAPO UNAPATA MUVI KAMA KAWAIDA,INAKAA NA CHAJI MASAA 8,INACHUKUA MUVI NA KUPIGA PICHA.. ***BEI LAKI 4...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
mwenye kuuza tafadhali mwaga maelezo yako hapa...
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Wakuu natafuta line ya tigo pesa ili kufungua duka la uwakala wa Tigo pesa. Kama kuna mtu anayo au anafahamu pa kuipata awasiliane nami kwa 0757005468.
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Wadau natafuta nyumba ya kupanga ya vyumba 2,sebule, choo, jiko na parking angalau ya gari moja. Maeneo ya mbezi tank bovu, kijitonyama na makumbusho.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wewe ni mjasiriamali? Pata bata mzinga vifaranga wakubwa kwa wadogo pia bata bukini wanapatikana nao wakubwa kwa watoto number yangu 0757-662401 karibuni
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana JF, Naomba mwenye website za mitandao ambayo inauza gari second hand kwa dubai anirushie hapa. Nasikia gari zipo cheap sana kwa dubai kama ilivyo Japan. Thanks alot.
0 Reactions
29 Replies
20K Views
tuna repair blackberry ambazo ni mep0 (blocked) kwa maelezo zaidi piga simu 0774439364
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Viwanja viwili vinauzwa, vipo bunju na vyote vina hati..!! Ni vizuri na vipo karibu na miundombinu 1. sq meter 1525 sh 55 million 2. sq meter 1406 sh 50 million Bei inapungua kidogo..!! If your...
0 Reactions
1 Replies
882 Views
Used but in good condition Red and black in colour Price 270000 Mawasiliano 0719004668 Simu original..picha iyo hapo chini
0 Reactions
1 Replies
786 Views
Nyumba inauzwa, ina Maduka matatu yanayofanya biashara ,inafaa kwa ujenzi wa Ghorofa kutokana Sheria za Mamlaka ya Ustawishaji wa Makao Makuu (CDA) Nyumba hii ipo karibu na Banki mpya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu habari,ninauza Nokia lumia 510 kwa tsh. Laki3,serious buyer ani pm.
0 Reactions
1 Replies
954 Views
Habari wana JF,Kuna viwanja vinauzwa,kimoja kipo ''KITUNDA-KIVULE'' kipo karibu na barabara kina ukubwa wa hatua za ''UREFU-40 na UPANA-30''.Na kingine kipo karibu kidogo na tegeta maeneo ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nishapata ajira nzuri yenye mshahara mzuri so tayari nimeshapata chumba sinza...ahsanten
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kama kuna mtu mwenye kuuza laptop naomba tuwasiliane kwa sababu ninaihitaji kwa sasa. Nahitaji laptop isiyozidi laki 5 plz mwenye kuuza tuwasiliane 0684036259
0 Reactions
0 Replies
590 Views
NYUMBA YA KWANZA: IPO AFRIKANA 3 Bed rooms Dining room Seating room Ina fence Maji Umeme Tiles Madirisha ya aluminium Parking Kodi: 500,000/= kwa mwezi na inatakiwa ya mwaka mzima. NYUMBA...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Msaada kwenu wakuu ,nahitaji kujua duka gani hapa dar nitapata Samsung galax 3 Original Brand New,kwa bei rahisi hapa Dar.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimefuga kuku wengi wa kienyeji, ningependa kupata soko la uhakika hasa miji ya Dar, Moro na Dom.Naweza kukuletea mahali ulipo kwa order ya kuku wengi. Kuku wangu ni wenye afya na wamechanjwa...
0 Reactions
1 Replies
900 Views
Natafuta mtu mwaminifu wa kufanya nae biashara ya samaki kutoka sehemu yoyote ile ya tanzania japo nasikia kwa Dar ndio kuna soko zuri la samaki. Mi nipo mwanza/simiyu, ivyo mtu yeyote aliyetayari...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom