Natafta chumba self contained kiwe town kabisa mazingira mazuri, nitakaa for 6months nitashukuru nikipata na kitanda, jiko na friji ndani, mwenye nacho nipm number yako ntakupigia, asante sana
Hatimaye wakala wa tvs king apatikana na wanauza kwa bei poa kabisa sawa na bure so wewe mkazi wa mtwara jipange jichange upate usafiri wako kwa ajiri ya kufanyia biashara na wametoa ofa maalumu...
Wadau,napenda kuwakumbusha kwa mara nyingine kuwa mafuta ya mbegu za ubuyu yapo na bei yetu ni ileile lita 1 ni Tsh 35,000/=
Kwa wale ambao walishawah kuyatumia wanaweza kueleza jinsi...
Kwa mahitaji ya video shooting, kama vile harusi, send off, filamu na album za kwaya, n.k kutana na bwana matungwa video production-bukoba. Yupo mkabala na kituo cha mafuta aboos barabara ya...
habari gani wana jf? Nahitaji kununua monitor(chogo) kwa ajili ya cpu yangu , bajeti yangu ni tsh 20,000. Kwa yeyote mwenye nayo tuwasiliane kupitia 0752490238. Mimi nipo Dar. Ahsanteni
Wakubwa habari za majukumu, Jamani naomba msaada kama kuna mtu anauza watoto wa Bull dog au amesikia mahali wanapatikana anijulishe ninahitaji, hata kama si Dar ila ni ndani ya Tanzania, msaada...
We are keeping stock of:
Fleetguard filters for most engines of all large brands like Caterpillar, Liebherr, Komatsu, Hyundai, Scania, FAW, Mercedes, Perkins, Cummins, Toyota, Landrover etc...
Do you want to build with quality blocks?
Do you want to give out order/tender for quality blocks?
HALAAL CO. LTD located at Tegeta Dar es salaam can solve your problems and fulfil your needs...
Nipo dar,nina laptop mbili so moja nataka niipunguze,nipatie laki 2 na 70 ama tablet aina yoyote isiyo na matatizo or brackberry torch
sifa za laptop:hp compaq nc6220
hp compaq pentium...
Wakuu wa janvi,
Naskia mtaani kua magari kwa zanzibar ni bei rahisi kuliko kununulia bara.
naomba mwenye connection ya jinsi ya kupata toyota costa anifahamishe hapa.
natanguliza shukrani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.