Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Iwe nzima na haina shida ni PM.
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Wadau natafuta Amp ya kutembezea picha kwenye cable ambayo inaweza tembeza hata 5km Natanguliza shukrani.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
external harddisk trascend 1TB 2.0usb for 170000 mpya kwnye box serious buyer weka namba yako nikupigie
0 Reactions
0 Replies
560 Views
Wadau, Natafuta Horn Speaker kama hizi. Mwenye kujua zinapouzwa Tanzania aniambie
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu nahitaji msaada wa mtu anayefaham nitapata wapi dispay (complete na touch) lumia 800 ilianguka ikavunjika
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nahitaji Solar Pannel za Watts 50 (Ziwe mbili) Pamoja na Betri yake.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
200 meters from the main road ( morogoro road), 67 kilometers from dar es salaam, it has title deed, there is all weather road towards the plot, price Tshs. 100,000,000/= ( negotiable)
0 Reactions
0 Replies
579 Views
Wadau nataka kununua hiace ya biashara iliyo ktka hali nzuri, bajeti yangu ni milion kumi. Ukiwa nayo au taarifa kwa mwenye nayo nijuze. Gari ikiwa poa tunafanya biashara hata leo. 0715719171...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wadau wa jf, Nina uza engine ya NISSAN Model TD27 Turbo. Iko complete na accesories zake zote plus a new fuel pump. Bei ni 2.5 Maelewano yapo kwa serious buyers only. Kwa mawasiliano ni PM...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtajwa hapo juu.. -awe anapatikana dar es salaam, manispaa ya kinondoni.. -mwenye masharti nafuu (kiwango cha riba na na muda wa malipo) atapewa kipaumbele.. -mkopaji ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni wepi naweza pata vitenge kwa bei ya wholesale?
0 Reactions
8 Replies
4K Views
brand New Samsung atom Mini Laptop,dual core,2.0ghz,2gb ram,320gb hdd,webcam,wifi ntaweza pata hyo kwa sh. ngapi npo dodoma
0 Reactions
0 Replies
610 Views
Habari wakuu.. Hiyo gari inauzwa Colour - Silver Km - 99000 Year of Manufacture - 2003 Registered in August, 2012 - CCG Price - Tshs. 12,500,000.00 Serious Buyers Only - PM for details
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wanawake wa kibongo tu walio singo na awe na umri wa kuanzia miaka 20 na kuendelea wanopenda kupata marafiki, mwenzi,mchumba. Kumbuka watoto hawarusiwi, wake za watu hawarusiwi na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Fundi bingwa wa mashine za photocopy za aina zote printer aina zote...pia nna re-fill wino kwenye catrige...napatikana mkoani Njombe Mawasiliano:- 0765813691,0718383404
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna nokia 5233 smartphone inauzwa kwa 90000TZ$,haina tatizo,inamiezi mitano tu,ni touchscreen,nyeusi na ina vitu vyote kama internet,radio..nk,na apps za kumwaga kwa atakayeitaji anitafute kwenye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna nokia 5233 smartphone inauzwa 95000TZ$,Ni touchscreen,nyeusi,ina vitu vyake vyote kama USB cable,hd phones & chaji,haina tatzo,ina internet,radio & all office apps...n.k,kwa atakayeitaji...
0 Reactions
1 Replies
894 Views
Hp officejet k 7103 used inauzwa kwa laki mbili na nusu tuu haina tatizo tuwasiliane kwa simu 0764435828.... asanteni...
0 Reactions
0 Replies
956 Views
ilitangazwa kipindi cha nyuma lakini wengi wetu hatuifaham,tafadhali saidia
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Nahitaji nokia,lg au samsung yenye sifa zifuatazo .iwe fasta ktk internet,kudownload n.k .iwe inafungua vitabu (eg.pdf n.k) .iwe na touch pia na button za kawaida .kamera nzuri...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom