:frusty::frusty:
Jaman wanaJF mwenzenu nimepata dharura ila nina gari yangu aina ya nissan patrol naiuza kwa bei poa mil 14
ni manual,
green,
engine 42D,
full AC,
CC 4500
inatembea naomben...
Wadau kama kuna mtu anahitaji usafiri wa familia good news to you. Nlinunua gari nikasajiri trh 1/11/2012 kwa namba CEK niko nje ya Africa ila kwa vile nimeona nitachelewa kurudi huko(>2015) si...
vipo viwanja vitatu kama ifuatavyo
sqm 20 kwa 20 bei 5,000,000/
sqm 20 kwa 24 bei 5,500,000/
sqm 24 kwa 26 bei 6,500,000/
viwanjwa vipo mpiji magohe CCM, umbali wa km 9 kutoka morogoro road...
Nina Laki moja (100000) ninataka external disk ya 1TB. Pesa ipo cash bila zengwe. Mwenye nae kwa bei hiyo anitafute niko Dar. Pia Digital camera inahitajia. 0713807758 au mudisungura@gmail.com
Natafuta Housing ya simu aina ya Samsung C6625. Aliyenae au anayejua zinakopatikana basi asisite kunipa taarifa kupitia 0713807758 au mudisungura@gmail.com
poleni kwa majukumu ya kujenga na kubomoa taifa! Nina rafiki yangu amepangiwa kazi maeneo ya mjini/posta ya zamani dar. Yeye si mwenyeji wa hapa dar, hvyo basi ameniomba nimtafutie eneo la kuishi...
Kunamtu umu jamvini aliwai kusema kua kuna pikipiki zakichina aina ya toyo 150 au 125 mpya kwa laki 9 yupo wapi naomba kuwasilisha oja kama yupo zinaitajika anipm
:high5::high5::high5::high5::high5::high5::high5:mimi ni mama nauza gari aina ya nisssan patrol
green colour
engine 42D
cc 4500
4wd drive
year 1994
manual, super roof ipo ktk hali nzuri
Full AC...
For Sale
Toyota Hilux Surf 1993
Engine: KZN 3.0 Diesel
Transmission: Automatic
AC
Power Windows
Sunroof
Never wrecked
Clean interior
Regular Service
Non-smoker
Color...
Shamba kubwa linauzwa lenye sifa zifuatazo:
Ukubwa: Ekari 4
Eneo: Mapinga - Udindivu
Maji yanapatikana karibu
Kuna nyumba iliyojengwa katika shamba hilo
Bei: Millioni 65 na maelewano pia yapo...
Wajameni, nina banda lipo Lufungira, lina vyumba 9 na lina wapangaji, ninaliuza, kwa ambaye yuko interested, tuwasiliane ili nimpeleke akapaone na tufanye biashara. bei ni 48m mwisho 45m. whoever...
Habari zenu JF Members,
Inahitajika nyumba ya kupangisha....iwe either kinondoni,kawe au mikocheni..mpangaji ni single.iwe na choo cha ndani,jiko, sebule na chumba cha kulala.PM me (na rent kwa...
ofa kwa wale watu wa maakuli tunauza viungo vizuri kwa afya bora
soya
tea masala
mdalasini
pilau masala
tangawizi
iliki
mbogamboga
bei kuanzia 3000- 5000 ukita jumla pia utapata
no 0712 454307
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.