Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kwa yeyote mwenye nayo au anafahamu mahali naweza kupata hiyo dublicating machine pale Arusha anisaidie nahitaji kwa ajili ya shule ya sekondari pasipo na umeme. Iwe used inayofanya kazi vizuri au...
0 Reactions
3 Replies
838 Views
Legacy Impresion Company, ni kampuni iliyosajiliwa kisheria, inapatikana eneo la Kijitonyama.Dar es salaam na inafanya shughuli za "Printing, Graphic Design, Webtech na Stationeries"...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nauza shamba maeneo ya chanika majumba sita shamba lina ukubwa wa heka 2 pia lina minazi 2, mikorosho 4 na mimbe midogo 2 pia kuna mihogo ila haijapaliliwa bei milioni 6 ila maelewano yapo namba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mweny e61 nokia antajie bei 2elewane" pia unaweza nip.m nipo mwanza"
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Shamba heka kumi,lipo maeneo ya Msowelo mkoani Morogoro pembezoni mwa mto Msowelo linauzwa,linafaa kwa kilimo cha umuagiliaji maji hasa bustani na kilimo cha mahindi,bei inaanzia 400,000/= kwa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
"Nashukuru sana kwa wale wote ambao walifanyia kazi Tangazo ambalo nililitoa hapa miezi michache ya nyuma,kwani watu mbalimbali wamekuwa wakipiga simu na kuulizia zaidi na wengine wamefika kabisa...
0 Reactions
3 Replies
885 Views
Wanajamii nisaidieni betri ya hp laptop ntaipata kWA BEI GANI NIPO UKU MORO.
0 Reactions
2 Replies
966 Views
Habari wadau Tafadhalini rejea kichwa cha habari.... Hasa iwe jijini Mwanza. Wakora waitu.
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Habari zenu wanajamii... Naona ni share hii site na nyie, kwa yeyote ambae angependa kujifunza MS Excel, Adobe, Visio etc ajaribu kuingia kwenye hii site: learningexpresslibrary.com I hope...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wadau nina laki mbili na nusu.. Bado nahitaji laptop mini used... Nipo dar... Aliye tayari ani PM.. Kwa mawasiliano zaidi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tafadhali naomba maelezo kuhusu chainsaw,kwa wale wanaofahamu. Je bei za Chainsaw zikoje? Ni brand gani ambazo zinafanya kazi vizuri na kwa ufanisi? Huwa zinatumia mafuta kiasi gani kwa saa on...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu JF members naomba msaada wa maelezo kuhusu FORD EXPLOER ya mwaka 2004, 4000cc, ambayo nataka kuiagiza kutoka Japan kupitia "tradecarview'' kampuni ya ''Y's OUTLET''. Nimekubaliana na hawa...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wakuu mitsubish lancer used ya mwaka 1998 iko sokoni kwa bei cheap kabisa,vile vile ilinunuliwa mpya with 0km so itakuwa ni second hand! Engine ipo katika hali bomba kabisa!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
nauza generator aina ya boss lenye power specification 2.2 to 2.4 KWatts price 400,000/ negotiatble contacts: 0713123713 Location Rufungira, Dar es salaam, karibu na kanisa la Kakobe
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama ikiwa Bajaj Boxers au Tvs siyo mbaya. Kama vipi hata wa akina Fekon na T better waje tu. Ofa yangu ni tsh Laki 5-6. kama unayo ni pm tupange jinsi ya kuuona mzigo. natanguliza shukrani au...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Kama kichwa kinavyojieleza, natafuta simu hiyo. Iwe black au gray. Hata kama ni used but iwe kwenye good condition
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bb curve 8525 Bei-180,000 Bbtorch ina touch na slide Bei-250 Nokia android touch screen Bei-350 Ipad Bei-550,000
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hii bei yake sio mbaya ni 180,000 imetumika miez mitatu N:b Original na guarantee ya kutosha!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
mimi nimemaliza fourm 4 na kupa ta division 4 natafuta chuo cha tecnical ili kuchukulia fani yangu na chuo chenyewe kiwe kinatoa mafunzo ya electronic and communication
0 Reactions
1 Replies
978 Views
Blackbery 9800 inauza iko kwenye good order bei lak 4 tu! Ukiwa interested please ni PM kwa mawasiliano zaidi! Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Back
Top Bottom