Natafuta gari ndogo ya kununua budget yangu ni 5m, iwe na sifa zifuatazo iwe ni toyota primio, colora au sprinter, iwe na cc chini ya cc1500 milege isizidi km 100000 rangi yoyote na reg number...
ndugu zangu wa jf.
naomba mnishaur.
nimemaliza f4 2o11 nilipewa na balaza 4 ya 26 ambayo ni, kisw=c,eng
c,hist=f, na masomo yameyobaki nina d zote.
sina msaada wwte na maisha ni magumu...
Baada ya kutambulisha branding package na kuleta mafanikio kwa walioitumia sasa pata ofa kwa msimu huu wa pasaka
kuanzia leo tarehe 29 hadi tarehe 5 ya mwezi wa nne karibu sasa ujipatie branding...
Legacy impresion company its a legal company located at Kijitonyama, Dar es salaam dealing with Graphic design,Printing, Webtech and Stationeries,
We are now introducing our new firm in the...
Tukiungana na wakristo kona zote duniani kusheherekea sikukuu ya Pasaka, Chenglee Healthly Food imetoa cupon 100 zenye thamani ya Tsh 3,000,000 kama zawadi.
Kila Cupon ina shilingi 30,000/= na...
Wapendwa natafta used furniture za ofisini nataka viti,meza zenye droo, na kabati ya kuhifadhia documents ziwe kwa bei rahic mwenye Nazo anipm lakini sitaki za wizi,
Pia natafuta sehemu ya kurent...
Nahitaji laptop ya samsung NP 530 i5, Projector ambayo inaruhusu wireless na samsung tablet 10.1 best price na viwe ktk hali nzuri...humble2080@yahoo.com
Habari zenu Wakuu,
najitokeza humu leo kuhitaji fremu/chumba cha biashara. Iwe ndani ya wilaya za aidha Temeke au Kinondoni.
Fremu hii isiwe kubwa saana wala kasiwe kadogo saana iwe ya wastani...
Nafundisha course ya computer kwa kuwaandaa wanaotaka kujiajiri na kufungua secretarial/stationeries.
Sitoi cheti ila nakujaza uelewa wa hali ya juu wa matumizi ya computer.darasa lenyewe ni...
Nafundisha course ya computer kwa kuwaandaa wanaotaka kujiajiri na kufungua secretarial/stationeries.
Sitoi cheti ila nakujaza uelewa wa hali ya juu wa matumizi ya computer.darasa lenyewe ni...
tumefungua ofisi mpya na hivyo tunatafuta
1.meza MOJA kubwa ya wastani yenye double droo kulia na kushoto ,bajeti yetu @ TSH 80,000/=
2.viti viwili vikubwa wastani vya kuzunguka, bajeti @TSH...
:lalala: GARI INAUZWA
Ni aina ya nissan patrol safari, super roof
Sifa:
green colour
10passangers
engine 42D
4wheel drive
right steealing
cc 4500 fuel injection
diesel
5 doors
Full AC
Manual
Its...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.