Mtoto kapelekwa hospital na baba yake, docta akawa anamuandikia dawa, baba yake akatoka nje kuongea na simu, mtoto akamuinamia docta na kumuita kwa sauti ya chini docta.!.. docta!...kwenye dozi...
Husika na kichwa cha habari nahitaji toyota spacio iwe na specification kama manufactur date isizidi 2004,
Transmission automatic
Milleage isizd 100000
Iwe in good condition
Engine 1500cc
Ukiwa...
Kiwanja chenye ukubwa wa hatua za miguu/mita 32 kwa 28 kinauzwa sh. Mil. 8 Chanika mwisho karibu na kituo cha mwisho cha daladala, kuna umeme na pamejengwa upande wa nyumba vyumba 3. Tuwasiliane...
habari ya Pasaka wanajamvi?
Kichwa cha habari chajieleza. Natafuta Mark X au Verosa ambayo itakuwa imetumika kidogo ,bei maelewano .
unaweza ukasema hapahapa au ukani PM
Natanguliza shukrani...
Get ur mobile phones at cheap and affordable prices kama ifuatavyo:
BlackBerry Torch 2 - 9810 @ Tsh 400,000
BlackBerry 9900 @ Tshs 450,000
Samsung S3 @ Tshs 700,000
iPhone 5 mpyaaa kabisa @...
Wana JF, napangisha nyumba maeneo ya Mtoni Kijichi itakuwa wazi kuanzia 1/5/2013, kama unaelekea Neruka Sec. Vyumba 2, sebule, valanda,bafu, jiko, choo na nafasi kubwa kwa nje - parking. Kodi ni...
Pana nyumba. Eneo lina ukubwa wa mita 35 x 25. Ni karibu na EPZ Ubungo, Viwanda vya Ubungo, Chuo Kikuu Mlimani na mfumo wa Usafiri kuelekea katikati ya jiji vimekaa vizuri. Pana hati ya...
Wana JF, napangisha nyumba maeneo ya Mtoni Kijichi itakuwa wazi kuanzia 1/5/2013, kama unaelekea Neruka Sec. Vyumba 2, sebule, valanda,bafu, jiko, choo na nafasi kubwa kwa nje - parking. Kodi ni...
frem ya biashara inatafuta hata kama sio kubwa yaani kama nyembamba sana isio mbaya kwa ajiri ya biashara ya tigo pesa kama unayo usisite kuwasiliana nami wappolinary@yahoo.com au ni pm hapa jf...
Nyumba inatafutwa Nyegezi, Mwanza au maeneo ya karibu. Vyumba angalau viwili (master) yenye fensi (au flat) maeneo yenye usalama.
Mwenye nayo ni PM namba zako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.