Habari wanajamii, chombo tajwa hapo juu kinauzwa, ni 600 CC, ina top speed ya 300km/h, ina sport exhaust (ukiivutia ndo inakuwa na mlio wa sport sio exhaust yenye kukera) ni ya 1997 bei ni 5.7...
Dell OptiPlex GX520 Desktop PC - Intel Pentium 4 2.8GHz, 1GB DDR2, 80GB HDD, DVDROM,
Kwa yeyote anaefaham duka au anaeuza Dell ya aina hii tafadhali ani inbox tuongee
Hello G/thinkers,
Nauliza eti ni sehemu gani au chuo kitambulikacho na kinachofundisha lugha ya Kiswahili mji wa Arusha?
Naweza kupata mawasiliano yao mf. tovuti, barua pepe, namba ya simu au/na...
Mahali ilipo: Barabara mpya - Peace point Area (Shangarai) barabara ya Moshi -Arusha Road robo kilometa kutoka lami.
Hali ya nyumba- vyumba 6, sebule, master bed room jiko na stoo. eneo la robo...
Habari wanaJamvi,
Jamani ninatafuta room selfcontained (Parking muhimu ) hata kama kuna mtu amepanga nyumba na anatafuta mtu wa kushare.
Ndo kwanza naanza maisha so gharama isizidi 150000 a...
Ninauza galaxy Tab P6200, 16 GB, nyeupe backcover na pembeni ni rangi ya silver
Ina-support GSM, na WIFi, imetumika miezi 2
Accessories nyingine: Pochi 2 moja yenye wireless keyboard (black) na...
TANGAZO:
Kwa Mahitaji yeyote ya DESIGN, GRAPHICS,
MOTION AND ANIMATION, PRINTING, VIDEO
& AUDIO ADVERTS welcome to MALAIKA
MEDIA...
Video and Still pictures on Co orporate events,
Weddings...
Tunabadilisha modem za internet zilizofungwa (locked) kuwa universal yaani zitumike kwa mitandao yote kwa bei nafuu.
Karibu sana Tsh 10000 tu na kama una piece nyingi bei inapungua. 0782458197
TANGAZO:
Kwa Mahitaji yeyote ya DESIGN, GRAPHICS, MOTION AND ANIMATION, PRINTING, VIDEO & AUDIO ADVERTS welcome to MALAIKA MEDIA...
Video and Still pictures on Co orporate events, Weddings...
Kiwanja kizuri tambarare hakina mabonde wala milima kinafikika kwa urahisi ukubwa 30 kwa 27 Kipo Mbezi ya Kimara, Maramba mawili msikitini bei ni 6,000,000/= maongezi
WanaJF, kwa hapo mjini Dar es Salaam, nitapata wapi ndoano ya kuvulia samaki ? Ninaenda kutembea mahali ambapo mto una samaki wengi sana na mimi napenda sana samaki. Nataka nije nivue mwenyewe...
Ninahitaji chumba kizuri chenye choo cha ndani cha kupanga, naomba msaada wenu.
NB: NATAKA MAENEO YA KIGAMBONI.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.