Pata kitabu kizuri cha Chemistry. kiitwacho New Certificate Chemistry cha Holderness n. Lambert......kitabu hiki kinafaa kwa wanafunzi wote wa A level na O level wanaosoma Chemistry bei yake ni...
Hp530 intel duo core 1.6ghz ram 1gb harddisk 100gb win7 battery imekufa na dvd drive ya kutengeneza ila vingine poa whatsapp 0713522445 bei negotiatable
Kwa wale wanaofanya ufugaji kuanzia maeneo ya ubungo mpaka kibamba;napenda kuwajulisha kwamba nimeanza kuzalisha vyakula vya wanyama wote wanaofugwa i.e. ng'ombe, nguruwe, mbwa etc.
Bei ni nafuu...
2002 make, V6 2.5CC, Cruise Control, low mileage km 65,000 tu, Automatic + Manual gearbox, TV, DVD Navigation, Special Honda Made in America, 6 CD Changer, Original Woofer, Bose Sound System. Bei...
Nina nyumba hapa mjini, Natafuta dalali wa kunitafutia mpangaji. Napatikana +255767300876
Apartment for rent at CITY CENTER, Libya Street behind Furniture Center. Below is the description and...
Helo wanaJamii!
Tafadhali naomba mwenye kujua contact za kampuni hii au mahali walipo hapa Dsm anisaidie.
Ni kampuni inayofanya kazi kama za PUSH MOBILE mfano: ununuaji wa ring tone za...
Shamba la ukubwa wa Ekari tatu(3) nauza kila Ekari kwa ShilingiMilioni moja na Nusu (1,500,000/=). Linapatika Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani barabara ya Morogoro Road maeneo ya Visiga Seminary...
kwa mahitaji ya laptops za hp na toshiba brand new genuine
Kuanzia hp probooks, presario, pavilion zinapatikana kuanzia lak 4 mpaka lak 8 kutegemea na specification ya laptop yenyewe.
Laptop...
Mi namtafuta Mtu tubadilishane naye my NOKIA 603 na samsung galaxy s2, s3 or s3 mini... Kama upo serious ni PM tutaongea zaidi. Simu yangu haina tatizo lolote lile.. Wala scratch na vifaa vyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.