wana JF
Nyumba inapangishwa Mbezi luis mtaa wa mshikamano, umbali ni km 1.5 kutoka Morogoro Road, kodi ni laki 300,000/= kwa mwezi na inahitajika kodi ya miezi sita.
Nyumba ni self contained, ina...
Hello, looking to buy good, used, enduro type motorcycle - like Yamaha Tenere, Honda XR 650 L, Afrikan twins or similar. Please replay to PM with pictures, prices, location of the bike.
NO indian...
VUNJA BEI GROUP, chini ya uenyekiti wa THEDEALER kwa kushirikiana na makampuni mbalimbali yaliyobobea katika sekta mbalimbali za kibiashara km vile sekta ya ujenzi yaani makandarasi, NGOs, nk...
Hi there,
Part time housekeeper needed.
One or two times a week (max 2 hours).
Work description: cleaning, washing, ironing, maybe some cooking
Location: Msasani Village
Requirements: Female...
Nimejaribu ku2ma post hii kwa mara ya kwanza,nimempata Jamaa yupo Dar(jalem),aliniambia anayo lakini nimem_PM hata hakunijibu tena! Natafuta sana hyo simu,naombeni msaada wenu,si lazima iwe mpya!
Wakuu...
habari za wikiend? kuna mdau mmoja anataka kuwekeza hapa Dar es Salaa, anatafuta plot iliyoko maeneo ya ufukweni kwa ajili ya kufungua PUB na Restaurant... ikiwa na ukubwa wa 100m x 50m...
Nauza jiko kwa ajili ya kufanyia biashara ya bakery.Jiko hili lilitumika Uingereza na lipo katika hali nzuri kabisa na litaendelea kufanya kazi kwa miaka mingi tu.Vitu vyao hivi kiukweli ni...
Nauza External Portable Power Bank Backup Battery Charger kwa njia ya mnada. Kushiriki mnada huu tembelea hii link External Portable Power Bank Backup Battery Charger uweke dau lako na ukishinda...
Nahitaji kununua simu iwe kati ya aina hizi Huawei,ideos,samsung.kigezo iwe inauwezo wa Ku-download Whatsapp,Bei isizid 150 tafadhali nisaidie....!!!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
hallow jamii forums,
As the heading say i am selling harrier model year: 2002. the car is in a very good condition. It have been imported in the country 12 December 2012 and all the duties have...
Makabati ya watoto mazuri na ya kisasa, yanapendezesha nyumba sana.... Unaweza kutumia kuwekea vitu vya mtoto... Km nguo zake, sabuni.....na kadhalika na hata watu wazima wanaweza kuwekea vitu...
Wadau,
Nahitaji Laptop. Pamoja na mambo mengine, the following specifications are mandatory:
RAM: At least 2 GB but 4 GB preferred
Hard Disk: At least 500 GB
Processor: Duo core, at least...
Niana ya hp,nimetumika kwa mda wa miezi 6,ninzuri na haina mchubuko hata kidogo,nzuri ukubwa 2gb,bei haipungui,mwenye kutaka PM,inaprogram zote
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.