Mimi nipo hapa Kalangalala,Geita! Kama kuna mtu anauza simu aina ya X2 tujulishane,natafuta ya kununua(used)! Kama inapatikana ,naomba kujulishwa kwa nambari 0759947397
Habari waungwana.
Dili kubwa la pasaka, Nyumba ya vyumba 3 vya kulala, sebule, vyoo, stoo kila kitu, tofali za cement, imeshawekwa bati, na kuna eneo la kutosha linazunguka, mtaa wa pili toka...
Nanunua motherbord za computer..radio...Tv na sim zilizo kufa kwa wingi wowote ulio kua naao.
Kwa mawasiliano ni sms au whatsapp kupitia namba hii ya simu 0713935738
Nyumba hii inauzwa ipo vingunguti karibu na sheli jijini dar es salaam bei ni maelewano kwa mawasiliano zaidi wasiliana katika namba 076437001,au 0718 370001
Habari wanaJF! kutokana na matatizo niliyoyapata katika Biashara zangu, natangaza kuuza nyumba ambayo ilikuwa bado kidogo kukamilika. imepauliwa, ina vyumba vya kulala vitatu, viwili ni futi 10...
Lg gw620 Rangi nyeusi
Tach skrin na inaslid kwa pemben
Maelezo IPO DAR ES SALAAM
Legel information
System tutorial
Divx vod regislation
Model numbel gw620
Firmware version 1.5
Kernel...
Nauza gari aina ya Corrola X
Ya mwaka Mwaka 2004
Kilometa 53,000
Engine CC 1500
Ni Mpya kabisa, ndo kwanza imetoka bandarini
Kwa mawasiliano piga namba 0713-757491
NB: Hakuna udalali
hi wale wenye iphone., ipad, ipodtouch hauitaji tena kununua apps from itunes nicheck kwa namba yangu nikufanyie mautundu upate vyote buree ada tutaelewana 0656 646141
ina vyumba 3, master 1, sitting na dinning room. Ina choo cha nje na ndani. Ina fensi ya ukuta na geti kubwa. Ina maji na umeme. MAHALI ILIPO PANDA DALADALA ZIENDAZO MGENINANI (UKIWA MAENEO ZA...
wanajamii incubator za umeme kuanzia mayai 264 kwa laki 9
na mayai 176 kwa laki 7
na mayai 24 laki 5
made in china aprroved na serikali ya china
full automatic za zinachukua mayai ya kila aina...
Wakuu kazi ninayofanya inahitaji gari ambalo lipo juu kidogo, so gx 100 inapata shida sana. Naomba mtu mwenye hiyo gari tajwa hapo juu ambalo lipo kwenye hali nzuri anichek tufanye biashara kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.