Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kama unahitaji tuwasiliane kwa simu au ujumbe mfupi kwa namba hii - 0787 527394 Nauza Projector Mpya kabisa aina ya EPSON LCD EX 5200 ndani ya box lake original Gharama ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sofa zinauzwa. Ni za ngozi. Bei yake ni 750,000/- kwa zote. Anayetaka 0713401812. Jamaa ana hamia kikaz koani.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna watu humu jf wanaweza kukupa oda ya mzigo alafu ukifika nao bongo na kumtaarifu anazima simu hapatikani? Wengine wanaweza kukupigia wanataka mzigo ukifika nao maeneo alio kuelekeza bila...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nyumba mbili kubwa za vyumba saba zilizo kwenye kiwanja kimoja zinauzwa pia kuna feremu nne zipo mbagala kuu,kwa maelezo zaidi piga 0718097972
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Acer aspire one mini, 320 gb, 2gb ddr 3 ram, webcam nd ts brand new ndani ya boxi, Bei laki saba Kwa wale wasoma hisabati(700,000) N:b Bei inashuka na kama kawaida tunakupa guarantee,ahsanteni!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
wadau habari... Naomba msaada wa kujua bei ya video shooting camera kama za maharusin au sherehe sio zile ndogo za nyumban...plz kwa anayejua jamani anielekez au anitajie bei hata estimate...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
natafuta keyboard ya laptop dell n5050
0 Reactions
1 Replies
808 Views
Haya jaman nimechoka kumaliza mafuta ya tz11, mwenye hyo gari model yke isiwe chini ya 2004 nataman ningepata blue, kijivu hata white, bt bei nina 6m.. Iwe kwenye good and appreciable condition...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sofa zinauzwa. Jamaa anahama kikaz. Bei 750,000/-zote kama zilivyo. 0713401812. Ni ngoz tupu. Bado mpya kabsa.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Att: Natafuta projector used, iwe na hali nzuri, vifaa vyote i mean accessory zote ziwepo, niko mkoani nauli ya kusafirishia ni juu yangu! PM
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wajamaa baada ya kupata blackberry sasa natafuta desk cmpty aina ya dell used isiyotumika kwa sana!
0 Reactions
0 Replies
663 Views
Kiwanja kina ekari moja kipo njia panda Moshi kando kando ( 30metres) ya barabara kuu kutoka Dar es Salaam/Arusha. Umeme na maji ya bomba vipo ni sehemu nzuri ya biashara kati ya miji midogo ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
HELLOW GARI AINA YA DAIHATSU MIRA ,MODEL YA MWAKA 2003, CC 1300 ECONOMIC, AUTOMATIC TRANSMISSION,RIGHT HAND DRIVE.IN EXELLENT CONDITION. KWA MAELEZO NA KUPATA PICTURE ZAKE HALISI, INGIA FACEBOOK...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya mbezi beach, tegeta, mwenge, survey na kijitonyama. kwa yeyote aliye na nyumba maeneo hayo ni pm
0 Reactions
1 Replies
984 Views
habari.. kwa yeyote alienayo anipm ila iwe kwenye hali nzuri na ikiwa black itakua poa sn japokua ht nyeupe z ok. weka na bei.
0 Reactions
1 Replies
810 Views
Natafuta receiver moja kati ya hizi, used au mpya! 1. Strong SRT 4930 High Definition (HDTV) au 2. Openbox S11HD PVR MPEG4. Napatikana Mwanza,
0 Reactions
3 Replies
944 Views
Kwa anayeitaji tablet. Ipo ya zte picha baadaye. Bei yake 600,000/-
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau mwenye smartphone USED kwa bei hiyo....naomba ucomment hapa na nintaPM ntakayelizika na ofa yake
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna ndugu yangu mmoja amehamia huku moshi sasa anatafuta chumba maeneo ya moshi mjini au longuo, anaeweza kusaidia katika hili naomba unopm please
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Ninatafuta mkopo benki kwa riba reasonable. mimi ni mwajiriwa, ofisi yetu ni ya kimataifa, ina ofisi nchi 8, ila kwa tawi letu hapa Tanzania, tupo staff 4 tu. Mkataba wangu ni...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Back
Top Bottom