Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
wadau habari za asubuhi. nimekua nikitafuta taarifa za jinsi ya kupata vifaranga vya kuku wa mayai. nipo Lindi kwa sasa. kwa yeyote ambae anaweza kunisaidia naomba afanye hivyo ikiwa ni pamoja na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Suzuki vitara-Escudo iko katika hali nzuri,automatic transmission,petrol engine 1590cc,grey-metallic,127000km.Inatembea mwenye kuihijitaji ani pm bei ni 6.5mil.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
NAUZA IPHONE 3G 8GB KWA 250,000/= TU IPO KATIKA HALI NZURI nicheki kwa 0655 44 44 40 PICHA NTA ATTACH ANY TIME. NOTE: NI ORIGINAL.
0 Reactions
1 Replies
978 Views
BAJAJ 2 USED ZINAUZWA. 1. Milioni 3.5 tshs 2. Milioni 2.8 MAONGEZI/NEGOTIABLE: YES MAHALI/PLACE: DAR ES SALAAM SIMU: +255659463709 au/or PM
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana Jamii! Nyumba ya kupanga vyumba viwili vya kulala, Sebule, Dinning,Choo na bafu inapatikana, jirani na Mtoni Kijichi CCM parking ya kutosha kodi ni tshs.170,000 kwa mwezi na kodi ni miezi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Plots for sale at KIMARA 'B' size mita 32*25 or 800sqm.Price for one plots is Tsh 15,000,000/= (for more information call 0715055577/0769055577)
0 Reactions
0 Replies
991 Views
ANNOUNCEMENTS: 1 Bed room Service Apartments at Nelly's Inn Mbezi Beach: Nelly's Inn is proud to offer a few Apartments now available for just a fraction of the hotel rates.You get to live in a...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Namhitaji mwalimu wa kufundisha kuogelea; au ningependa kujua shule au mahali ambapo wanafundisha kuogelea katika mkoa wa Dar e Salaam. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Roel investment limited is here by at your disposal to enrich you with good health by providing best quality oil from Hanang' Manyara. available at your required quantity place your order at...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu, Kuna utafiti naufanya hapa Tanzania kuhusu kuboresha na kujua undani wa vyuo vya ufundi mbalimbali, ikiwa ni pamoja na vifuatavyo; 1. Vyuo vya Hotel Management 2. Vyuo vya...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Nyumba ya vyumba ya kupanga inapatikana, vyumba viwili vya kulala, sebule, dinning, jiko, choo na bafu. Tuwasiliane kwa namba 0712 477976, ulizia geoffrey.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu humu jf:nauza vifaa vyangu vya kazi yangu inayo niweka mjini ya uganga kama utanunua jumla basi nitakuongezea misukule mitatu kama nyongeza! Kuna ilizi 8 nyekundu pembe ya nyoka...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
"Huko Waliko" ni kipindi kipya cha TV kinachopikwa tayari kuja kwenye luninga yako siku za karibuni. Lengo la kipindi ni kuelimisha na kujulisha yale ambayo Watanzania wanaoishi ughaibuni...
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Habari za leo wandugu? Wataalamu wa mambo ya roofing materials hasa mabati mliomo katika jukwaa hili la 'Great Thinkers', naomba mnisaidie mambo yafuatayo; 1. Nitapata wapi mbao za kenchi 2...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
New Genuine Windows 7 Professional DVD na Office 2010 DVD zinauzwa @150,000 Each + Installation and Activation Free Contact : 0766507080
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Habari, Wanajamii nlikua nataka kununua Bajaj mpya ila nataka kulipa kwa Instalments,kwanza naanza kwa 2Million then laki 5 kila mwezi mpaka deni linaisha.ila nahitaji Bajaj mpya.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
natafuta universal moderm kwa bei chee. Mwenye nae anichek 0713807758
0 Reactions
2 Replies
1K Views
iwe mpya au used. inayoweza kutumika migodini hasa migodi midogo ya dhahabu,
0 Reactions
1 Replies
986 Views
nahitaji mkopo wa shilingi milioni mbili, kama kuna mtu yupo tayari kunisaidia tafadhali tuwasiliane kupitia 0714021078 tuweze kuongea zaidi na kufikia makubaliano na mambo ya msingi... tafadhali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Gari ainaya toyota forturner inauzwa ni ya mwaka 2008 ni manual inatumia disel imported from south africa bado haijasajiliwa, bei ml 35 interested customer pls contact me 0714560921
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom