Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Ili uweze kupata wallpaper game simbian game photo image editor image chef na mengine mengi bofya HAPA
0 Reactions
1 Replies
766 Views
1. Shamba la ekari 20 linauzwa lipo visegese kisarawe- ni km 7 toka kisarawe mjini. Bei ni Mil 15 kwa hizo ekari 20. Kuna mto unapita shambani panafaa pia kwa kilimo cha umwagiliaji. 2. Pia kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za weekend poleni na majukumu, natafuta mtu wa kufanya nae biashara ya hoteli karibu na stend mpya ya mabasi yaendayo mkoani kwa aliyetayari aniandikie kwa email kyelilucas@yahoo.com
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Naitaji dry water meters aina ya Kmei.Ziwe za plastic. Kama unazo dry water meters aina tofaouti pia,naomaba tuwasiliaane naitaji pcs 200.
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Habari ndugu wana JF, napenda kuwataarifu ndugu zangu hpa jirani yangu kuna nyumba nzima yenye vyumba 5 parking ya gari ndani kodi ni laki sita kwa mwezi. ipo magomeni moroco hotel karibu na...
0 Reactions
1 Replies
776 Views
Wakuu naitaji iphone 3gs yenye hali mzuri mtu yyte mwenye nayo please anipm tufanye biashara
0 Reactions
1 Replies
696 Views
Noah ya mwaka 2000 vibali vyote vimelipwa bado bima ( inasurance) imetembea km 125,000 inapatikana kinondoni 0657 145555 au 0772 00 8866 ina A/c cd player n.k bado nashughurikia vibao vya namba.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Salut Natafuta kiwanja Tegeta ukubwa at least 70*70 budget 30M! kiwe na hati.
0 Reactions
1 Replies
993 Views
Habari wana JF! Kuna nyumba inapangishwa jijini Arusha. Nyumba hiyo ni mpya kabisa, ikiwa na vyumba viwili vya kulala(kimoja masterbed room), sitting room, dinning room, kitchen, public toilet ...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau natafuta haraka sana nyumba ya kupanga arusha iwe na vyumba 2 vya kulala,sebule na jiko na pia iwe self contained maeneo ya njiro/nanenane au karibu na njiro au mjini pia buget isizid 200000
0 Reactions
8 Replies
2K Views
CIF DAR EUR 25.000 Description: DYNAPAC 12000R YEAR 1992 5.943 HOURS 6 CYLINDERS ENGINE DEUT
0 Reactions
0 Replies
692 Views
ciaf dar pound 40.000
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Sold............. Imeshauzwa.............
0 Reactions
4 Replies
1K Views
tunapenda kuwatangazia wamiliki wa magari ,trucks,kampuni binafsi za magari maeneo ya wilaya ya kinondoni jeff mobile car wash tushaanza kutoa huduma za uwoshaji wa magari kokote ulipo nyumbani au...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
JF naikubali, ni kisima cha elimu, uzoefu na maarifa ya kila aina, isitoshe kuna waungwana kibao. Mwenzenu nimekwama, naombeni waungwana mnisaidie. Biashara zangu zimesimama kwa kukosa mtaji...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni wakati wako wa kuendesha gari zuri kutoka Hyundai aina ya Hyundai TB ya mwaka 2006 ina 1390cckwa USD 999 FOB au USD 2500 CIF ikiwa pamoja na ukaguzi. Tembelea website yetu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nafasi ya kazi. Kampuni ya MMP inatangaza nafasi 1 ya kazi. (one post) SECRETARY Sifa ~awe na vyeti uhusika ktk nyanja hii. ~uwezo wa kuzungumza kwa ufasaha lugha ya KISWAHILI na ENGLISH...
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Jabari wana JF, nani anajua kituo cha watoto Yatima chenye nafasi nataka nigawe sofa zangu used baada ya kununua mpya, au unaweza nunua kwa matumizi yako ukafanya repair kidogo, pesa hiyo itaenda...
0 Reactions
2 Replies
830 Views
Nakodisha gari kwa kampuni, bei maelewano. 0716 152 157
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Black berry 9700 bold iko kwa good condition chek me thru 0717022737 for b'ness
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Back
Top Bottom